Aina 15 za wanawake ambao ukikutana nao unapaswa kuvaa condom

Umesahau hizi

17. Kama ANAJIFUKIZA Vaa ndom
18. Kama anavuta sigara/bangi vaa ndom
Hahahaha nimeshindwa kupita kimya aiseee, hapo namba 17 si mchezo.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Je ni wapi unaweza uchukulie poa usivae ikawa haina shida?

Tupeni na hyo list!
 
AINA 15 ZA WANAWAKE AMBAO UKIKUTANA NAO UNAPASWA KUVAA CONDOM

1:Kama anatatoo......... Vaa condom
2:Kama anakunywa bia.....Vaa condom
3:Kama anazima simu ukiwa nae....... Vaa condom
4:Kama anafanya kazi baa au saloni.... Rafiki yangu vaa condom
5:Kama anamarafiki wengi Facebook...... Kaka condom
6:Kama anakuwa wakwanza kukuvua shati na kuchomoa dushelele lao..... Usizubae vaa condom
7:Kama anapenda chama cha siasa kinachopendwa na anampango wa kugembea uongozi.................Vaa condom
8:Kama anawowowo la kichina...... Usisahau kuvaa condom
9:Kama anakipini puani, kitovuni au kikuku mguuni....... Vaa condom mbili
10:Kama anasoma UDSM, UDOM, SAUTI, USHIRIKA, Au MZUMBE...... Kumbuka condom
11:Kama anasemaga wanaume wote ni sawa.... Tafadhali vaa condom
12:Kama hakuambiii vaa condom....Vaa condom
13:Kama anavaa suruali ...... Bro condom
14:Kama ananyoa kiduku na kuweka breach..........vaa Condom
15:Kama anatokwa na povu kwasababu ya post hii....... Vaa condom Tatu,

Ndugu yangu thamini afya yako na maisha yako[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuti la mazoea humuangusha mgema,,

Ukimwi haupimwi kwa macho mkuu..
 
Ame qualify No. 1, 2, 3, 4, 9,12,13 na 15...dah....
 
Kama anauza mgahawani, plz kimbilia kwa mangi ununue kifaa😅😅😅😅
 
Hiyo namba 12 🤣

Ukimaliza kusoma uzi..kabla huja commet plz VAA
 
Hata kama tatoo iko kwenye chakula cha mtoto?
 
Back
Top Bottom