Badmantebwe
New Member
- Sep 23, 2017
- 3
- 18
Blog ni nini?ukimiliki moja wapo kati ya blog zilizoelezewa kwenye makala hii ni rahisi kuingiza kipato kila mwezi
Blogu ni aina ya tovuti ambayo inatoa taarifa za kila siku za tasnia Fulani, machapisho katika bloghuwekwa mara kwa mara ili kutoa taarifa husika za kila siku.
Taarifa hizi za kila siku zinaweza wekwa kwenye blog zinaweza zikawa habari, tetesi muziki na matukio.
Mfano wa blogu ni, michuzi blog.com, dj mwanga.com, tetesitz.com na milardayo.com
Kumiliki blog ni fursa nzuri kwa kijana wa Tanzania ambapo blog inakuwezesha kuingiza kipato kupitia matangazo ya internet , pia blog inakuingizia kipato kupitia madeal mabalimbali pia blog inakupa wadhifa katika jamii kwaa kumiliki blg husika.
Kwenye makala hii nitakupa mrejesho kuhusu aina ya blog zinazofaa kuanzishwa niche Tanzania (2020)
Aina hizi zinazingatia mambo yafuatayo
1. Kiwango cha ushindani
2. Gharama za kuanzisha
3. Urahisi wa kuiendesha
4. Kiasi cha mapato
5. Urahisi wa kuikuza (ku promote)