Kweli mkuu imependezaAina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini
1. Utajiri kutoka kwa Mungu.
2. Utajiri kutoka kwa shetani.
3. Utajiri wa kurithi.
4. Utajiri wa bidii yako ya kupambana
Aina 5 za umasikini.
1. Umasikini kutoka kwa Mungu.
2. Umasikini kutoka kwa shetani.
3. Umasikini wa kurithi.
4. Umasikini wa uvivu na ulegevu wa mtu
5. Umasikini unaotokana na kutapanya tapanya mwenyewe
Ijue karata yako uicheze vizuri.
Aisee hatari sana..
Ndago ipo mkuu kuna mbwammoja kawatoa kafara ndugu zake ni tajiri ila analalia mkeka halalii godoroRank sahihi ya utajiri upo hivi
1.Utajiri wa kurithi
2.Utajiri wa juhudi binafsi
3.Utajiri kutokana na fani au talanta
4.Utajiri kutokana na illegal business
Huo wa ushetani haupo mtakuja kuliwa hela kwa waganga wa kienyeji bure.
Hamnaga hiyo ππππUtajiri wa kuajiriwa
Mungu si masikini, anakupaje umasikini?Umasikini kutoka kwa Mungu.