Aina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini

Aina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Aina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini
1. Utajiri kutoka kwa Mungu.

2. Utajiri kutoka kwa shetani.

3. Utajiri wa kurithi.

4. Utajiri wa bidii yako ya kupambana

Aina 5 za umasikini.
1. Umasikini kutoka kwa Mungu.

2. Umasikini kutoka kwa shetani.

3. Umasikini wa kurithi.

4. Umasikini wa uvivu na ulegevu wa mtu

5. Umasikini unaotokana na kutapanya tapanya mwenyewe

Ijue karata yako uicheze vizuri.
 
FB_IMG_16775183966350430.jpg
 
Aina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini
1. Utajiri kutoka kwa Mungu.

2. Utajiri kutoka kwa shetani.

3. Utajiri wa kurithi.

4. Utajiri wa bidii yako ya kupambana

Aina 5 za umasikini.
1. Umasikini kutoka kwa Mungu.

2. Umasikini kutoka kwa shetani.

3. Umasikini wa kurithi.

4. Umasikini wa uvivu na ulegevu wa mtu

5. Umasikini unaotokana na kutapanya tapanya mwenyewe

Ijue karata yako uicheze vizuri.
Kweli mkuu imependeza
 
Aina 4 za utajiri na umaskini tanzania
1 utajiri kutoka ccm
2 utajiri kutoka uchawa
3 utajiri kubaka uchaguzi
4 utajiri wa kusifia

Umaskini
1 umaskini kutoka ccm
2 umaskini wa kusifia
3 umaskini kukosa asali
4 umaskini wa udini na ukabila
 
Rank sahihi ya utajiri upo hivi
1.Utajiri wa kurithi
2.Utajiri wa juhudi binafsi
3.Utajiri kutokana na fani au talanta
4.Utajiri kutokana na illegal business
Huo wa ushetani haupo mtakuja kuliwa hela kwa waganga wa kienyeji bure.
Ndago ipo mkuu kuna mbwammoja kawatoa kafara ndugu zake ni tajiri ila analalia mkeka halalii godoro
 
Back
Top Bottom