Noted with appreciationHii dunia zamani enzi za kina Jezus haikuwa na mipaka binadam aliweza kusafiri popote bila kuulizwa kitambulisho,Sasa ukianza ku hoji sijui Yesu na Mudi walitokea middle east itabidi nikusaidie kufikiri,Huu ubaguzi wa rangi kauleta mzungu tu mi huwa naona binadam wote ni watoto wa baba na mama mmoja mambo mengine utayapata katika biblia kwa undani zaidi.
Nasubiri jibu langu mkuu.Jibu lingine!
Ni kutokana na kujiuliza maswali kama hayo kwamba kwa nini sisi ni wanadamu na tumetoka wapi?,
Unawezaje kuthibitisha kuwa watu kipindi hicho walijiuliza wametokea wapi na jibu likawa ni kuna mungu? Na watu kama wamasai ambao hadi leo hawana idea hiyo unawazungumzia vp?Jibu lingine!
Ni kutokana na kujiuliza maswali kama hayo kwamba kwa nini sisi ni wanadamu na tumetoka wapi?,
Kuna udanganyifu mwingi sana kwenye hawa viumbe kwakuwa wakati wote huonekana huko ulaya tuu
Sijasikia hata siku moja Alliens wameonekana uarabuni china wala Africa
eti walivyo waongo zaidi wanakwambia eti huenda sehemu yenye technology ya hali ya juu,katika mambo na uongo wote hapa tu wazungu uongo wao niliwakatalia kabisaKuna udanganyifu mwingi sana kwenye hawa viumbe kwakuwa wakati wote huonekana huko ulaya tuu
Sijasikia hata siku moja Alliens wameonekana uarabuni china wala Africa
Swali ni kwanini msomi aamini hivyo?Inasadikiwa kuwa hadi kufikia mwaka 2050 tayar tutakuwa na viumbe katika sayari ya mars ambao watatoka hapa duniani na kwenda kuanzisha maisha katika sayar hiyo.
Sio ajabu watu wa mungu watakuja kusema kwamba mungu aliumba dunia na mars akazipenda na kuzibariki[emoji23][emoji23].
Ni aibu kuwa na mwanadamu msomi kwa karne hii ambaye anaamini eti akifa kuna mtu sijui kitu kitamchoma moto!.Sijui kuna mtu sijui roho inahesabu makosa yake.Hivi mungu anatoa wapi muda wa kuhesabu makosa yetu?.Huu ni udhaifu mkubwa sana.
Karibu sana katika ulimwengu huru!
,..............Free ideas.......
Hawezi ni copy n pasteSummarize hilo li habari lako.....!!!! Linaboa
BAHATI MBAYA SASA SHETANI WANAMCHORAGA MWEUSIAfrika tupo wapi aliens mzungu, yesu mzungu,mtume moh'd mwarabu. Sasa sijui inakua vipi .....
ka-mix ma-folder maybe.Mkuu mbona wikipedia nakutana na vitu vngine tofauti na maelezo yako
Samahani naomba nikuulize kuhusu huo ulimwengu huru,
Je mtu anavyofariki kwanza kipi hutoa roho yake? Huipeleka wapi? Na je huko inakuaje?
Au wenzetu mnaamini nini juu ya kifo?
Naomba unielimishe tafadhali.
Swali ni kwanini msomi aamini hivyo?
Unawezaje kuthibitisha kuwa watu kipindi hicho walijiuliza wametokea wapi na jibu likawa ni kuna mungu? Na watu kama wamasai ambao hadi leo hawana idea hiyo unawazungumzia vp?
Nasubiri jibu langu mkuu.