mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Wanaogopa Africa waafrika wengi dkk 2 mbele hawashidwi kuwapiga beiKuna udanganyifu mwingi sana kwenye hawa viumbe kwakuwa wakati wote huonekana huko ulaya tuu
Sijasikia hata siku moja Alliens wameonekana uarabuni china wala Africa