Aina gani ya choo ni bora zaidi?

Ukitumia anaerobic, utazalisha methane na maji, methane inawaka, unaweza leta balaa na pia kunakuwa na harufu kali sana. Maji yenye chlorine usiingize kwenye tank, chlorine itumike mwishoni maji yanapoondoka. Choo kama hiki hakijai ila gharama za hao bacteria ndo mziki kwa Mswahili.
 
Hio Methane si ndio mpango mzima, unafunga njia za kuikusanya na hautanunua tena gesi oryx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…