Ukitumia anaerobic, utazalisha methane na maji, methane inawaka, unaweza leta balaa na pia kunakuwa na harufu kali sana. Maji yenye chlorine usiingize kwenye tank, chlorine itumike mwishoni maji yanapoondoka. Choo kama hiki hakijai ila gharama za hao bacteria ndo mziki kwa Mswahili.