Aina gani ya friji ni nzuri?

Aina gani ya friji ni nzuri?

Nilienda kariakoo kununua friji nikaacha friji jipya kampuni ya boss lenye lita 100 kwa 360,000 nikaenda kununua la mtumba lenye lita 168 kwa bei hiyo hiyo kampuni ya whirlpool nimekaa nalo mwaka mmoja tu sasa hivi linawaka haligandishi halipoozi hata uliwashe masaa 24 yani ni bora ukanunua jipya ukaja kulibikiri mwenyewe hata kama ni chinese brand
Gas imeisha, tafuta fundi
 
Kuna mwambwa anataka kiniuzia fridge ya Mr UK,kama Lita 90 kama Kwa laki Mbili na 80 ila ilishatumika
 
Back
Top Bottom