Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Nissan niliambiwa zinakula pesa kwneye service, passo zinatetemeka mlimaniWewe deal na IST, Passo, Nissan note n.k
Toyota!…less service n maintenance…
Mitsubishi outlanderEnheeeh wajomba naombeni msaada ni aina gani ya gari nafaa kuanzia maisha kama kijana mwenye mshahara wa 2M? Nilijichanga nikafikisha kiasi fulani nataman kupata gari ila nawaza aina ipi ya gari itafaa na yenye less service n maintenance.
Kuna fundi aliniambia Nissan Dualis nilipozifuatilia kidogo nizimie.
MSAADA
Viwanja ninavyo huko Kisesa na Buswelu mwanza, biashara sina msimamizi kazi zangu ni site mwaka mzimaToyota Corolla, Toyota Probox, Toyota Carina
Ila kama huna familia usinunue gari, Kanunue kiwanja au anza biashara
Kama hujui biashara kanunue hata UTT, just do anything to increase your future cashflows.
Hako ka Runx niliwahi sikia dodoso lake ila sinaga uzi kamiliToyota!
IST, Corolla (ikiwemo Fielder, Allex na Runx etc).
Kuna fundi alinipa katazo akaniambia nitafute aina ya ToyotaMitsubishi outlander
Unataka niwe na uteja na garage zote za Ilala na tandale sio? Hayo madude hata service yake nasikia no mshahara wa mwalimunjoo nikuuzie ford ranger ikifa nozel used moja laki 3 mpya laki 7 zinakua 4 au Tano kwenye engine
Unayo? Uwanja uje naoTsfuta Ndege ya Jet 300 t nzuri
Acha ujuaji,mtu anakuuliza gari gani ya kuanzia maisha we unamtajia viwanja..Toyota Corolla, Toyota Probox, Toyota Carina
Ila kama huna familia usinunue gari, Kanunue kiwanja au anza biashara
Kama hujui biashara kanunue hata UTT, just do anything to increase your future cashflows.
ilala hawatengenezi hizo gari.wababe tupo kinondoni karibuUnataka niwe na uteja na garage zote za Ilala na tandale sio? Hayo madude hata service yake nasikia no mshahara wa mwalimu
Siwezi thubutu mkuu nyie ni matajiriilala hawatengenezi hizo gari.wababe tupo kinondoni karibu
Runx = Corolla.Hako ka Runx niliwahi sikia dodoso lake ila sinaga uzi kamili