Yeah 12M ni budget nzuri , hapa hata kwa gari used unapata namba E za mwanzo kabisa ambayo haijakaa muda mrefu kwenye mkono wa mbongoIla ninauhakika 12M napata mkononi ambayo haina yowe, mfano nikienda showrooms za mliman city pale siwezi kosa, jana niliongea nao wakaniambia nifike ofisini
Shida mfuko kaka mfukoonunua gari ya kupanda sio ya kutumbukia...
😊Lc 300 landcluiser VXR 2023
Enheeeh wajomba naombeni msaada ni aina gani ya gari nafaa kuanzia maisha kama kijana mwenye mshahara wa 2M? Nilijichanga nikafikisha kiasi fulani nataman kupata gari ila nawaza aina ipi ya gari itafaa na yenye less service n maintenance.
Kuna fundi aliniambia Nissan Dualis nilipozifuatilia kidogo nizimie.
MSA
Zama CCM na mapambio kibaoKaka labda nifanye utakatishaji wa pesa.....kuanzia Lc 300 serikali lazima ikuangalie
Yeah hizo gari ni roho ngumuNimeona Body lake kanafanana na Allex.....kesho nitaenda kutafuta kwa vijana wenzangu ntaleta mrejesho.
Chawa pro max toyota alex wakati boss zako wanapeta na vxr landcluiser lastest mwisho utaangukia kwenye baiskeliToyota Alex au RunX zenye Cc 1490 ukipata hata ukitaka safari ya Dar Mwanza unaenda nayo fresh tu , na kwa misele ya town ni uhakika pia , binafsi naona ni gari nzuri mbadala wa IST , hizi IST zimeshakua kwenye midomo ya watu sana unakuta mtu hana hata baiskeli ila anaipondea, kwahiyo ili uwachanganye unatinga na Allex au RunX
OkChawa pro max toyota alex wakati boss zako wanapeta na vxr landcluiser lastest mwisho utaangukia kwenye baiskeli
Landcluiser lc 300 vxr 2021 au sio mzee wa busara wa chongoniai ChinaFanya ufanyavyo hakikisha chuma yako brand inasoma TOYOTA
Landcluiser lc 300 vxr 2021 au sio
Yes ni kwa ajiri ya route za hapa mjini tu mikoani huko kuna gari za kaziGari nzuri ya kuanzia maisha ni IST na kama wewe ni mtu wa safari za mkoa to mkoa chukua ile ya engine kubwa itakufaa sana.
Ukijisahau ukasema NRNE wanakula kichwaZama CCM na mapambio kibao