Habari wana jamii
Kama kichwa cha somo kinavyo eleza hapo juu, tafadhali mwenye ujuzi na uzoefu wa mashine za kutoa nakala yaani photocopy machine anisaidie ushauri.
Je ni aina gani ya photocopy machine ni nzuri kwa kazi ya stationery ndogo, hapo napenda kujua aina pamoja na modeli namba, natanguliza shukrani
Canon yoyote 2000+ ni nzurikwa mtazamo wangu photocopy machine iliyo nzuri na economy ni yeyote yenye kutumia windo wa poda, ila kwa mimi ninge kushauri Cannon Image Runner Ir 2518 na Ir 2520. Ni hayo tu
Andaaa kati ya 1.5- 2.0 milionasante kwa ushauri, unaweza kunisaidia kujua bei zake, kwa used?
ndugu nisingependekeza sana kujua bei ya used ,ingawa used ni cheap but it will cost you,service ya photocopy machine ni gali na hata vifaaa vyake ila kama utapenda used pouwa na kama utapenda new one vizuri zaidiNatanguliza shukrani je kwa used unazifaham bei zake?
Kikubwa na cha muhimu kwenye photocopy angalia imeshapiga copy ngapindugu nisingependekeza sana kujua bei ya used ,ingawa used ni cheap but it will cost you,service ya photocopy machine ni gali na hata vifaaa vyake ila kama utapenda used pouwa na kama utapenda new one vizuri zaidi
Aisee Mshana kumbe na photocopy zina Kilometers,duhhhKikubwa na cha muhimu kwenye photocopy angalia imeshapiga copy ngapi
Na ni kigezo muhimu sana kwenye copyAisee Mshana kumbe na photocopy zina Kilometers,duhhh
Oyaa,we hii si Camera mkuu,hahahaha au zipoKonica
Inauzwa bei ganiKuna Photocopy Machine ya Mjapan inaitwa Kyocera iyo ni nouma. km una hela tafuta iyo kitu utapga kopi adi uchoke ww afu dude km unapga upande huu na huu linageuza lenyew uku ww unakunywa soda
Ni kiasi gani cha kopi ndio nyingi na kinyume chake ?Kikubwa na cha muhimu kwenye photocopy angalia imeshapiga copy ngapi
Konica Kyocera !Oyaa,we hii si Camera mkuu,hahahaha au zipo