Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp bei na upatikanaji wa wino wake?Konica Kyocera !
Njoo nikuuzie Rico Aficio MP3045, inageuza yenyewe, used. ipo kinondoni mkwajuni DSM, touch screen, heavy duty, unaweza kuandika hadi namba 999 kwa idadi ya kopi unazotaka zitoke kwa wakati mmoja.Habari wana jamii
Kama kichwa cha somo kinavyo eleza hapo juu, tafadhali mwenye ujuzi na uzoefu wa mashine za kutoa nakala yaani photocopy machine anisaidie ushauri.
Je ni aina gani ya photocopy machine ni nzuri kwa kazi ya stationery ndogo, hapo napenda kujua aina pamoja na modeli namba, natanguliza shukrani
Habari wana jamii

Unajuaje kopi zilizopigwaKikubwa na cha muhimu kwenye photocopy angalia imeshapiga copy ngapi
Bei gan inauzwa na zinaatikana wapKuna Photocopy Machine ya Mjapan inaitwa Kyocera iyo ni nouma. km una hela tafuta iyo kitu utapga kopi adi uchoke ww afu dude km unapga upande huu na huu linageuza lenyew uku ww unakunywa soda
Ina bei gani hii inayoruhusu hadi unywe sodaKuna Photocopy Machine ya Mjapan inaitwa Kyocera iyo ni nouma. km una hela tafuta iyo kitu utapga kopi adi uchoke ww afu dude km unapga upande huu na huu linageuza lenyew uku ww unakunywa soda
Unaangalia counterUnajuaje kopi zilizopigwa
Unaangalia counterUnajuaje kopi zilizopigwa
ndio kuna meter readingAisee Mshana kumbe na photocopy zina Kilometers,duhhh
Kyocera iko powa sana. Kweli ni imara sana ila ni ghali na maintenance yake maana ya spare na wino bei yake iko juu sana.Kuna Photocopy Machine ya Mjapan inaitwa Kyocera iyo ni nouma. km una hela tafuta iyo kitu utapga kopi adi uchoke ww afu dude km unapga upande huu na huu linageuza lenyew uku ww unakunywa soda
Ni pim nikupatie Kyocera dealersMwenye uzoefu wa aina na model, bei na wapi inapatikana photocopy machine yenye uwezo wa kutoa side mbili bila kugeuza manually