Aina gani ya photocopy machine ni nzuri kwa stationery ndogo

Aina gani ya photocopy machine ni nzuri kwa stationery ndogo

Mwenye uzoefu wa aina na model, bei na wapi inapatikana photocopy machine yenye uwezo wa kutoa side mbili bila kugeuza manually
 
Wadau mimi nahitaji photocopy machine yenye uwezo wa kutoa A3 dau langu ni less dhan 1m.
 
Habari wana jamii
Kama kichwa cha somo kinavyo eleza hapo juu, tafadhali mwenye ujuzi na uzoefu wa mashine za kutoa nakala yaani photocopy machine anisaidie ushauri.
Je ni aina gani ya photocopy machine ni nzuri kwa kazi ya stationery ndogo, hapo napenda kujua aina pamoja na modeli namba, natanguliza shukrani
Njoo nikuuzie Rico Aficio MP3045, inageuza yenyewe, used. ipo kinondoni mkwajuni DSM, touch screen, heavy duty, unaweza kuandika hadi namba 999 kwa idadi ya kopi unazotaka zitoke kwa wakati mmoja.
 
Habari wana jamii
Kama kichwa cha somo kinavyo eleza hapo juu, tafadhali mwenye ujuzi na uzoefu wa mashine za kutoa nakala yaani photocopy machine anisaidie ushauri.
Je ni aina gani ya photocopy machine ni nzuri kwa kazi ya stationery ndogo, hapo napenda kujua aina pamoja na modeli namba, natanguliza shukrani

Tuwasiliane
 
Attachments

  • IMG-20171209-WA0000.jpg
    IMG-20171209-WA0000.jpg
    46.7 KB · Views: 161
VP naomba kujua machine uluzonazo za copy na hii pichan being gan

Wasap
0653 639214
 
Kuna Photocopy Machine ya Mjapan inaitwa Kyocera iyo ni nouma. km una hela tafuta iyo kitu utapga kopi adi uchoke ww afu dude km unapga upande huu na huu linageuza lenyew uku ww unakunywa soda
Bei gan inauzwa na zinaatikana wap
 
Kuna Photocopy Machine ya Mjapan inaitwa Kyocera iyo ni nouma. km una hela tafuta iyo kitu utapga kopi adi uchoke ww afu dude km unapga upande huu na huu linageuza lenyew uku ww unakunywa soda
Ina bei gani hii inayoruhusu hadi unywe soda
 
Kwa photocopy machines ningekushauri nunua canon kwasababu spea zipo nyingi na bei zake ni nzuri kulinganisha na aina zingine za machines. Kwa canon Cha kwanza angalia imepiga nakala ngapi kama mshanajr alivyoshauri. Pia angalia specifications zake mfano inapiga nakala ngapi kwa Dakika. Mfano wa model ndogo ndogo ni Canon ir 1200 nakuendelea
 
Kuna Photocopy Machine ya Mjapan inaitwa Kyocera iyo ni nouma. km una hela tafuta iyo kitu utapga kopi adi uchoke ww afu dude km unapga upande huu na huu linageuza lenyew uku ww unakunywa soda
Kyocera iko powa sana. Kweli ni imara sana ila ni ghali na maintenance yake maana ya spare na wino bei yake iko juu sana.

Kama una pesa ya mawazo achana nayo. Ila kama umejipanga chukua maana hutokaa uijutie kwani unaweza kaa hata mwaka humjui wala kumuhitaji fundi
 
Back
Top Bottom