Aina gani ya pombe hautamani kunywa maisha yako yote

Aina gani ya pombe hautamani kunywa maisha yako yote

Ni Aina gani ya pombe hautamani hata kuisogelea ilikufanya kitu kibaya.

Mimi hizi wine za dodoma aisee ziko ovyo sana jamani niliumwa wiki nzima.
Pombe ni pombe tuu,ukinywa bila kiasi na kutokula lishe Bora inayoendana na Pombe:Nyamanyama, kuchumbali safi!
 
Pingu 😎

Hii pombe ilinifanya kitu mbofu sana. Wenzangu waliniambia kuwa kabla sijanywa hii kitu nivae suruali ndefu ahalfu nifunge kwa chini, Mimi nilidharau nasaha zao nikavaa kipensi.

Nilihama Kijiji nakuambia!
 
Kuna hii inaitwa Jibel sijui kama siku hizi ipo, ilinifanya vibaya
 
Pingu 😎

Hii pombe ilinifanya kitu mbofu sana. Wenzangu waliniambia kuwa kabla sijanywa hii kitu nivae suruali ndefu ahalfu nifunge kwa chini, Mimi nilidharau nasaha zao nikavaa kipensi.

Nilihama Kijiji nakuambia!
Pingu
 
Back
Top Bottom