Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 280
- 727
Pombe ni pombe tuu,ukinywa bila kiasi na kutokula lishe Bora inayoendana na Pombe:Nyamanyama, kuchumbali safi!Ni Aina gani ya pombe hautamani hata kuisogelea ilikufanya kitu kibaya.
Mimi hizi wine za dodoma aisee ziko ovyo sana jamani niliumwa wiki nzima.
Acha ujinga ww mbingu umeionaPombe ni ubatili mtupu!
Mind your own businessPOMBE NI MCHUZI WA KINYESI
Niombee na mimi nitoke hukoNilikuwa mtu wa mitungi Namshukuru Mungu Alinitoa Huko
Haikuwa Safari Rahisi Mkuu Hata Sigara nilifanikiwa Kuzitupa Kule Ukiamua Unaweza lakini sio RahisiNiombee na mimi nitoke huko
PinguPingu ๐
Hii pombe ilinifanya kitu mbofu sana. Wenzangu waliniambia kuwa kabla sijanywa hii kitu nivae suruali ndefu ahalfu nifunge kwa chini, Mimi nilidharau nasaha zao nikavaa kipensi.
Nilihama Kijiji nakuambia!
Ilikufanyaje mkuuKuna hii inaitwa Jibel sijui kama siku hizi ipo, ilinifanya vibaya
Hivi vitu mnawezaje kunywaNisisikie mtu anataja visungura