Aina hii ya fistula, msaada wenu madaktari ni jinsi gani ifanyike ili mgonjwa aweze kupona

Aina hii ya fistula, msaada wenu madaktari ni jinsi gani ifanyike ili mgonjwa aweze kupona

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
186
Reaction score
148
Niende moja kwa moja kwenye maada. Kuna dada mmoja alipatwa na bawasiri ila ile bawasiri ilipona kwa dawa pasipo kufanyiwa operation's. Kilichojitokeza sasa ni jipu pembeni ya tundu la haja kubwa, baada ya jipu kupasuka imetengeneza njia ambayo ina uhusiano na njia ya haja kubwa, hivyo basi anapopata haja kibwa baadhi ya uchafu yani mavi huja kutokea kwenye lile tundu la iliyokua jipu.

Hivyo basi naombeni mnisaidie kwa mwenye uwelewa ni jinsi gani ifanyike ili lile tundu la jipu lipone na ule uchafu kidogo wa haja kubwa upite kwenye njia yake sahihi.

Shukrani sana naomba niwasilishe.
 
Hilo tatizo ni la kukimbilia hospitali haraka.

Mkizembea mgonjwa ataaga mashindano mapema.

Mungu yupo, ukiwa na imani thabiti lipo jina la Yesu linaloweza kuponya bila pesa bila fedheha.
 
Back
Top Bottom