Aina hii ya Kamari inaruhusiwa Tanzania, duniani na mbinguni kwa Maulana?

Aina hii ya Kamari inaruhusiwa Tanzania, duniani na mbinguni kwa Maulana?

Kuna majirani zangu wakiwa na akili zao ' timamu ' kabisa leo asubuhi wameamka na wakaja karibu na dirisha langu wakawa wanapinga / wanabeti ( wanacheza Kamari ) ambapo mmoja ni Mshabiki wa Simba kasema kwamba kama Simba itafungwa leo basi Yeye atamruhusu Mke wake akalale na jamaa wa Yanga hadi asubuhi huku Mshabiki wa Yanga Yeye kamwambia mwenzake kwamba kama Yanga itafungwa leo basi huyu Jamaa wa Simba atalala kwa mkupuo na Mabinti zake Watatu ambao kiukweli ni Warembo hasa.

Nauliza tena aina hii ya ' Kamari ' ya hawa Majamaa wawili inaruhusiwa nchini Tanzania, Duniani na hadi huko Mbinguni kwa mwenyewe mwenye kila kinachoonekana hapa Ulimwenguni au hawa Majamaa kuna uwezekano ni Watumiaji wazuri na wa Kutukuka kabisa wa ' Mmea ' wa Cannabis Sativa?

Nawasilisha.
Haipo kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom