Aina hii ya Uongozi, Siasa na Amri Kitaalam inaitwaje?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,016
Reaction score
16,813
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bwana Gelasius Byakanwa atoa mwezi 1 kila mwananchi mkoani humo ahakikishe anamiliki shamba la Mikorosho, vinginevyo serikali itawachukulia hatua za kisheria.

Taarifa: ITVTanzania
 
Hakuna chadema inayokwamisha, sasa wananchi mnakwamisha
 
Korosho ili muwakope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…