Kwetu Kyela na hasa ukanda wa Juu, huku boda ya kasumulu, lubele hadi Ngana kuna ule uyoga Mkubwa sana na mpana kama Mwamvuli unaitwa KANTWA, ukipata mmoja tu unatosha mboga ya familia