Aina mbalimbali za Madakitari

Aina mbalimbali za Madakitari

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nimeona aina mbalimbali za madaktari kama ifuatavyo 👇 ila sijaona Doctor of Men

1739502050072.png
 
Tumeumbiwa mateso ,hutakiwi kuishi kwa raha humu Ulimwenguni.
 
Naona kila dalili
 
Doctor of men na women ni GYNECOLOGIST, 🙂🙂
 
🤣🤣
Mimi naonaga siwaelewi hawajiamini na hiyo fani imewaoversize😀😀😀

Hawana madini na weledi.Labda hizo Koti na kile kifaa cha kusikiliza masikioni ndio huwa vinawapendeza. Ila wakianza kukuelezea shida uliyonayo lazima wakuache hewani🤗

Kama kuna waliocompetent mimi sijakutana nao.But kwa niliokutana nao wamenijengea picha huwa niko radhi kubadilisha hospitali ili nipate huduma bora.
 
Back
Top Bottom