Aina mbalimbali za Madakitari

Tumeumbiwa mateso ,hutakiwi kuishi kwa raha humu Ulimwenguni.
 
Naona kila dalili
 
Doctor of men na women ni GYNECOLOGIST, 🙂🙂
 
Mimi naonaga siwaelewi hawajiamini na hiyo fani imewaoversize😀😀😀

Hawana madini na weledi.Labda hizo Koti na kile kifaa cha kusikiliza masikioni ndio huwa vinawapendeza. Ila wakianza kukuelezea shida uliyonayo lazima wakuache hewani🤗

Kama kuna waliocompetent mimi sijakutana nao.But kwa niliokutana nao wamenijengea picha huwa niko radhi kubadilisha hospitali ili nipate huduma bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…