Aina mbalimbali za Madakitari

Hahahahaha mwanaume ni kiumbe kinachotakiwa kifutike kabisa kwenye uso wa dunia, hakina faida zaidi ya hasara
Wanaume Wamekukwaza nini Dr. M ? hivi umefikiria kama una ndugu zako wa kiume, brothers, uncles, baba je wafutike pia?
 
Hahahahaha mwanaume ni kiumbe kinachotakiwa kifutike kabisa kwenye uso wa dunia, hakina faida zaidi ya hasara
Wewe ulitokeaje bila mwanaume?! Halafu huyo daktari wa wanawake ni kwa sababu ya mfumo wa uzazi wa mwanaume na mwanamke kuwa tofauti - mwanamke anabeba mimba na care kubwa inahitajika ili kuhakikisha afya ya mama na mtoto kabla ya kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…