Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Kwa wale uume wao huwezi kusimama erection kuna aina mbili ya upasuaji ama kupandikiza uume penile implant surgery.
Kupandikiza uume ama penile surgery nikuweka cylinders na pumps kwenye uume na scrotum ama kupandikiza tube kwenye mishipa ya uume kuufanya usimame erection kwa kufanya damu zisambae kwenye mishipa ya uume.
Kumbuka licha ya kupandikizwa uume haimaanishi uume wako utaongezeka urefu ama ukubwa ukidindisha bali itabakia kuwa size yake ya asili kwa hiyo kama wewe ni kibamia haitaongezeka bali utadindisha tu erection.
Njia ya kwanza ambayo bei yake ni nafuu ni malliable (Semi rigid) implants kupandikiza tube ambayo itafanya uume wako udindishe hadi ubadilishe hizo tube ambazo kawaida zinabadilishwa baada ya miaka kumi. Kwa hiyo kwa mda wa miaka 10 wewe utakuwa unadindisha tu permanent erection
Hizo tube zinaitwa sillicon rod zinaweza kubend ama kunyooka.
Njia ya pili hii ni ghali kidogo inflatable implants. Ni cylinders zinawekwa ama zina unganishwa na mishipa ya uume halafu kuna pampu pembeni mwa pumbu scrotum. Ukitaka uume wako udindishe unaminya hiyo pampu pamoja na poumbou uume uume unaanza kudinda ukitaka uume kusinyaa unaminya tena uume unasinyaa.
Uturuki ndio wanaaminika ni wataalam wa penile surgery. Ila wataalam wanashauri kama huna shida ya kudindisha usikimbilie kufanya hivi
Pia inasadikika wanaume wengi wanaocheza porn ama X wamepandikiza ama wamefanya penile surgery.
Soma zaidi kwa kiingereza kwa kubofya hapo chini.
www.yalemedicine.org
Senior JF neurosurgeon John Hopkins university of applied science

Penile Implant (Prosthesis)
A penile implant is a device surgically implanted into the penis to allow men to have an erection. Learn more about this device.