Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,749
Warumi 8:1-9Kuitimiza sheria gani? Roho mtakatifu hakuja ili kutusaidia sisi kuitimiza sheria/TORATI.
Nimeshindwa kuelewa hoja yako sababu hujaweka maelezo hata kidogoWarumi 8:1-9
[1]Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.
There is therefore now no condemnation to them which are in Christ Jesus, who walk not after the flesh, but after the Spirit.
[2]Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.
For the law of the Spirit of life in Christ Jesus hath made me free from the law of sin and death
[3]Maana yale yasiyowezekana kwa sheria, kwa vile ilivyokuwa dhaifu kwa sababu ya mwili, Mungu, kwa kumtuma Mwanawe mwenyewe katika mfano wa mwili ulio wa dhambi, na kwa sababu ya dhambi, aliihukumu dhambi katika mwili;
For what the law could not do, in that it was weak through the flesh, God sending his own Son in the likeness of sinful flesh, and for sin, condemned sin in the flesh:
[4]ili maagizo ya torati yatimizwe ndani yetu sisi, tusioenenda kwa kufuata mambo ya mwili, bali mambo ya roho.
That the righteousness of the law might be fulfilled in us, who walk not after the flesh, but after the Spirit.
[5]Kwa maana wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili; bali wale waifuatao roho huyafikiri mambo ya roho.
For they that are after the flesh do mind the things of the flesh; but they that are after the Spirit the things of the Spirit.
[6]Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani.
For to be carnally minded is death; but to be spiritually minded is life and peace.
[7]Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii.
Because the carnal mind is enmity against God: for it is not subject to the law of God, neither indeed can be.
[8]Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu.
So then they that are in the flesh cannot please God.
[9]Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.
But ye are not in the flesh, but in the Spirit, if so be that the Spirit of God dwell in you. Now if any man have not the Spirit of Christ, he is none of his.
Hizo siyo hoja zake - Hilo ni neno la Mungu.Nimeshindwa kuelewa hoja yako sababu hujaweka maelezo hata kidogo
Nimemuongelea Yesu kama Ministry na sio Yesu Individual.Shida umekuja kasi ya ngiri bila umakini ?
Sijasema Yesu kavunja Sheria.
Nimesema wanafunzi wake. acha ubumunda basi.
Unaandika vitu generally sana..;kutenda kazi hata sasa kunavunjaje sheria?.Yn 5:17 SUV
[17] Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi.
Yesu alisema maneno kama hayo huoni kuwa alikuwa kinyume na Sheria...
Sheria inasema "Usifanye kazi yoyote" Lakini Yesu akawaambia Yeye na Baba yake wanafanya kazi hata siku ya Sabato.
Lakini mkuu moja ya sheria ali-quote Yesu inasema hivi;
Mathayo 15:4 BHN
[4] Mungu amesema: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima auawe.’
Je sheria hiyo unaifuata au kuna namna umeirekebisha?
Sheria zingine ni hizi, je unazifuata pia au kuna namna umezirekebisha
Kutoka 22:18-19 BHN
[18] “Usimwache mwanamke mchawi aishi. [19] “Anayezini na mnyama lazima auawe.
Torati inaletaje dhambi?.Ndiyo watakatifu ni wale washikao sheria na Imani ya Kristo.
Lakini lazima ujue Sheria ya Kristo ni ipi? Sheria ziko za aina mbili
1. Sheria ya Roho iletayo Uzima.
2. Sheria ya Dhambi iletayo mauti.
Rum 8:2 SUV
[2] Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.
Torati ndiyo iletayo dhambi na matunda yake ni mauti (Torati ndiyo Sheria ya Dhambi na Mauti).
Andiko hilo katika ufunuo limesema Amri/Sheria za Mungu na imani ya kristo, Amri za Mungu alizomaanisha hapo hapo siyo Amri kumi au TORATI.
Kwenye mstari WA 4 na WA 9 kuna maagizo ya torati kutimizwa ndañi yetu Kwa nguvu ya ROHO Mtakatifu. Kwa sababu Sheria ya torati haifanyi tena vita kushindana na miili yetu.Nimeshindwa kuelewa hoja yako sababu hujaweka maelezo hata kidogo
Warumi 6:1-14Kwahiyo Roho mtakatifu si kwa ajili ya kutufanya sisi tushike Sheria, Bali Roho mtakatifu yupo kwa ajili ya kutufanya sisi tuwe wana bila kujali tunaishije.
Yaani leo naweza nikazini, pamoja na kwamba nimezini haiondoi Title yangu ya kuwa mwenye haki/mwana wa Mungu kwa sababu HIYO HAKI nimepewa bure haihusiani na matendo yangu ya jana wala Kesho.
usisahau Dunia sio rafiki kwako, ni uwanja wa vita
Obadia 1:3 Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, Ni nani atakayenishusha mimi?.😄usisahau Dunia sio rafiki kwako, ni uwanja wa vita.
Warumi 6:15-22Yaani leo naweza nikazini, pamoja na kwamba nimezini haiondoi Title yangu ya kuwa mwenye haki/mwana wa Mungu kwa sababu HIYO HAKI nimepewa bure haihusiani na matendo yangu ya jana wala Kesho.
Sheria inasema usifanye Kazi, lakini Yesu na Baba yake wanasema wanatenda kazi hata sasa.Unaandika vitu generally sana..;kutenda kazi hata sasa kunavunjaje sheria?.
Kinacho nifanya nisizini au nisiseme uongo siyo Sheria, Bali sizini kwa sababu ndiyo asili yangu mpya kama mwana wa Mungu.na kwanini mnajadili sheria kulenga Sabato tu ilhali hata usizini ni sheria.
Wewe unazini?.ikiwa huzini nini kinafanya usizini ilhali sheria hazipo kwa mujibu wenu?.
Mada ya huu uzi ni Aina Mbili za wakristo.Nimemuongelea Yesu kama Ministry na sio Yesu Individual.
individuality ya Yesu sio hoja kwangu,his ministry Is.unaposema wanafunzi wa Yesu walivunja Sheria ya Mungu ni sawa na Kusema Yesu alivunja sheria kitu ambacho si kweli.
kitabu cha mwisho cha Bible kimeandikwa na mwanafunzi wa Yesu anasistiza sheria.
Tafsiri mbovu za Bible kama hii uliyoitoa zinapqtikana sana kwenye Viosk vingi vilivyopewa jina la KANISA.
Je?? Utabaki Mtakatifu bila toba??Lakini pia, kesho au kesho kutwa naweza nikazini au nikasema Uongo. Na bado nitabaki mtakatifu sababu sheria ama dhambi haviongozi maisha yangu.
Kwa hio unaweza kufanya dhambi Kwa makusudi,,,Kwa kujuà na kudhamiria na usitubu??Utakatifu haupatikani kwa kusema Mungu nisamehe makosa yangu sitarudia tena.
dhambi ipi unazungumzia, kuvunja moja kati ya sheria 613 ?? 😂😂Kwa hio unaweza kufanya dhambi Kwa makusudi,,,Kwa kujuà na kudhamiria na usitubu??
Je! Unae ROHO Mtakatifu ndañi yako au unajiongoza mwenyewe?
No hata zile 10 command... Naweza nikazini,,,nikatamani,,,nikachukia...do you think sihitaji toba??dhambi ipi unazungumzia, kuvunja moja kati ya sheria 613 ?? 😂😂
unavunja sheria kila siku amini hilo, you can't keep the Law.
acha kila siku, nafikiri unahitaji toba kila baada ya sekunde kazaa..No hata zile 10 command... Naweza nikazini,,,nikatamani,,,nikachukia...do you think sihitaji toba??
Kama navunja Sheria kila siku sihitaji toba kila siku??