Aina mpya ya ushirikina

Duh kweli ni ushirikina halali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu alimuumba binadamu kama kiumbe Bora kabisa akakipa ufahamu na uelewa ili kiweze kutambua wema na ubaya, mbaya zaidi tumeitupa tunu tuliyojaaliwa Allah au Mungu wetu, tumeshindwa kutofautisha Mungu wetu ni yupi na shetani ni yupi.

MUNGU ATUFUNGILIE HEKIMA NA UELEWA TUNAOUKWEPA KWA KUTAABISHWA NA UJANJA/HILA CHAFU ZA SHETANI, AMEN.
 
Hilo ndio Kanisa la Halima Mdee na Esther Bulaya

Muuzaji wao wa Ubunge ulitabiriwa hap
Si ajabu Siku hizi kukuta watu wana Degree, Masters na PhDs za masuala mbalimbali lakini sio katika Suala la Taalimungu (Theology). Eneo Hili kwa Afrika hatulipi kipaumbele sana lakini ndio eneo tumeonekana tu Wajinga wa kutupwa! Dini ya Kikristo kama Yesu Kristo aliiasisi sio eneo la Kukusanyika watu wajinga na kisha tutegemee kumuona Mungu kwa staili kama hizi za kwenda Mbele ya Mungu tukiwa na mifuko ya Nywele na Kucha.
 
Kuna makondoo hapo wataenda nazo kweli inasikitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…