Benittotz
Member
- May 24, 2018
- 68
- 123
ZIFAHAMU AINA ZA KODI NA VIWANGO VYAKE KWA MFANYABIASHARA
MDOGO NA WA KATI.
[emoji1006]: KODI NI NINI?
Kodi ni mchango wa lazima kwa serikali kutoka katika malipo ya mishahara,
utoaji wa huduma au uuzwaji wa bidhaaa, gharama za nyongeza katika
kuhamisha mizigo au kiwango Fulani kinachokatwa katika miamala.
Kodi ya biasha hutokana na mauzo ya mwaka au faida kulingana na ukubwa na
Aina ya BIASHARA.
Serikali inahitaji Kodi katika kutekeleza miradi ya kijamii na kuleta
Maendeleo vile vile.
Kunahitajika uwazi, usawa, gharama ndogo za ukusanyaki kodi na uchache wa
Kodi hizi ili kuleta Maendeleo chanya katika jamii husika.
AINA ZA KODI ZA BIASHARA
Presumptive tax. Kodi ya makisio hi NI kwa wafanyabiashara wadogo wasio na
daftari za hesabu za fedha. Muhusika hutozwa Kodi kulingana na mauzo yake
ya mwaka ( annual turnover).
Audited ta. Hi ni Aina ya kodi inayohusisha wafanyabiashara biashara wenye
vitabu vya kumbukumbu za hesabu bazo hutumika kutoa tathmini ya kiwango
cha kodi kinachopaswa kulipwa.
VIGEZO VYA KUZINGATIA KATIKA KODI YA
MAKISIO
Mhusika anapaswa kuwa mkazi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Katika
upande wa Kodi ulikuwa mkazi vitu vitatu huzingatiwa zaidi
1. Lazima uwe na sehemu ya kumudu ya kuishi Na uwepo nchini katika mwaka
husika wa fedha. Hapa hawamaanish lazima uwe umejenga. Sehemu ya
kudumu ya makazi ni sehemu yoyote unayoishi Kama vile nyumba ya kupanda
au chumba katika nyumba ya wageni ila TU wahusika wa eneo husika wawe
wanatambua uwepo wako.
2. Uwe umeishi nchini kwa kipindi cha zaidi ya siku 183 au Zaid katika mwaka
husika wa fedha.
3. Uwe nchini katika huo mwaka wa fedha na uwe na wastani wa kuishi nchini
kwa siku zaidi ya 122 kwa kipindi Cha miaka miwili iliyopita
4. Uwe mfanyazi au afisa was serikali uliyeko nje kikazi wakati was mwaka wa
fedha.
Biashara yako iwe inaingiza chini ya Tsh 20 million kwa mwaka.
Kipato chote kinapaswa kutokana na biashara katika mwaka husika wa fedha.
Hivyo mhusika hapaswi kujihusisha na shughuli zinginezo kama vile ajira na
uwekezaji.
Mapato yake ya mwaka wa fedha yanapaswa kutokana na biashara ambazo
vyanzo vyak viko ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania pekee.
VIWANGO VYA KODI KATIKA MFUMO WA
MAKADIRIO
Katika mfumo huu kiwango Cha Kodi kinachohitajika hupatikana kwa kuzingatia mauzo ya mwaka yatakayoonyeshwa katika taarifa ya
mfanya biashara. Kama taarifa hizo hasijakamilika , makadirio mazuri hufanyika na kamishina na kiwango sahihi kupatikana..
Viwango hivyo kwa taarifa Kamili na zisizo Kamilika vimeonyeshwa Hapo chini Kama ifuatavyo.
mapato ya mwaka
Yakiwa chini ya 4,000,000.
Makadirio ya Kodi taarifa zikiwa nusu ni;
NIL (-)
Makadirio ya Kodi taarifa zikiwa Kamili ni;
NIL (-)
Mapato ya mwaka yakiwa zaidi ya 4,000,000 lakini ni sawa auchini ya 7,500,000.
Makadirio ya Kodi taarifa zikiwa nusu ni
TSH 150,000.
Makadirio ya Kodi taarifa zikiwa Kamili ni
3% ya kiwango kilichozidi katika 4,000,000
Mapato ya mwaka .
Kiwango kinapozidi 7,500,000 lakini NI sawa au chini ya 11,500,000.

TSH 318,000

Tsh 135,000 +3.8% ya kiwango Cha mapato kilichozidi katika 7,500,000.
Mapato ya mwaka
Kiwango kinapozidi 11,500,000 lakini Sawa au chini ya 16,000,000.

Tsh 546,000.

Tsh 285,000 + 4.5% ya kiwango kilichozidi katika 11,500,000.
Mapato ya mwaka
Yanapokuwa zaidi ya 16,000,000 lakini sawa au chini ya 20,000,000.

Tsh 862,

Tsh 487,000 +5.3% ya kiwango kilichozidi katika 16,000,000.
KODI YA BIASHARA KWA MFANYABIASHARA
ANAETUNZA TAARIFA ZA FEDHA
Kundi hili hulipa Kodi kutokana na faida wanatoipata .
Mapato ya mwaka yanazidi Tsh20,000,000.
Hulazimika kuandaa taarifa ya fedha ya mwaka.
Mchanganuo was Kodi upo Kama ifuatavyo;
UPANDE WA TANZANIA BARA.
Kiwango kinachopaswa kutozwa Kodi kwa mwaka
Mapato ya mwaka yasipozidi 20,400,000.
Hakuna Kodi (-) NIL
Mapato yanapozidi 20,400,000 lakini yakawa sawa au chini ya 4,320,000.
Kiwango Cha Kodi mi 9% ya ziadi iliyozidi katika 20,400,000.
Mapato yanapozidi 4,320,000 lakini yakawa sawa au chini ya 6,480,000.
Kiwango Cha Kodi ni 205,200 + 20% ya kiwango kilichozidi katika 4,320,000.
Mapato yanapozidi 6,480,000 lakini yakawa sawa au chini ya 8,640,000
Kiwango Cha Kodi ni 637,200 +25% ya kiwango kilichozidi katika 6,480,000.
Mapato yanapozidi 8,640,000
Kiwango Cha Kodi ni 1,177,200 + 30% ya kiwango kilichozidi katika 8,640,000.
UPANDE WA ZANZIBAR
Mapato ya mwaka yasipozidi 1,800,000.
Kiwango Cha Kodi ni Hakuna (-) NIL
Mapato yakiwa zaidi ya 1,800,000 lakini chini au sawa na 4,320,000.
Kiwango Cha Kodi ni 13% ya kiwango kilichozidi katika 4,320,000.
Mapato yakiwa zaidi ya 4,320,000 lakini chini au sawa na 6,480,000.
Kiwango Cha Kodi ni 327,600 +20% ya kiwango kilichozidi katika 432,000.
Mapato yakiwa zaidi ya 6,480,000 lakini chini au sawa na 8,640,000
Kiwango Cha Kodi ni 759,600 + 25% ya kiwango kilichozidi katika 6,480,000.
Mapato yakiwa zaidi ya 8,640,000.
Kiwango Cha Kodi ni 1,299,600 + 30% ya kiwango kilichozidi katika 8,640,000.
HITIMISHO
Ni imani yangu katika makala hii fupi umepata mwangaza kiasi fulani katika maswala ya Kodi hususani
katika biashara ndogo ndogo.
Nakaribisha maoni, nyongeza na marekebisho pale ambapo Kuna kitu umeona taarifa Yale haiko sawa.
Tukutane katika makala zijazo .
IMEANDALIWA NA
BENSON FLEXON SHIRIMA
MHITIMU CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM SHULE YA BIASHARA .
MWANZILISHI NA MMILIKI WA @CHIKAZI_POINT
EMAIL : bensonflexon@gmail.com
FACEBOOK BENSON FLEXON SHIRIMA
INSTAGRAM @BENITTO_TZ
WATSAP 0654859954
CALL/TXT 0653384656