Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Mimi apa nipo😊Na kupata huu no.1 ni changamoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi apa nipo😊Na kupata huu no.1 ni changamoto
Hahahahaha nasikia dunia nzima mpo sita sasa sijui wewe inashika namba ngapi kwenye 6Mimi apa nipo😊
Ndo mimi na hao wenzangu wa 5😂Hahahahaha nasikia dunia nzima mpo sita sasa sijui wewe inashika namba ngapi kwenye 6
Ndo mimi na hao wenzangu wa 5[emoji23]
Asiwe manka huyuhuyu mkuu🤣🤣Namba 1 iliwahi kupiga kambi kwangu nikaizingua ikapotea mazimaa aaa.
Manka nakukumbuka sana ex mchepuko wangu 😍
Wawili watapata nyongeza😂Na sisi ambao tunatamani tupate hao sita tupo nane[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna aina mchepuko ukikutana nayo aisee stress zake unaweza kutamani hata ushtaki kwa wife. Eee mchepuko popote unajua balaa uliloleta ukosweswe na radi1. 𝗠𝗖𝗛𝗘𝗣𝗨𝗞𝗢 𝗟𝗔𝗠𝗜:
𝗛𝘂𝘂 𝗻𝗶 𝘂𝗹𝗲 𝗮𝗺𝗯𝗮𝗼 𝗵𝗮𝘂𝗼𝗺𝗯𝗶 𝗽𝗲𝘀𝗮, 𝗸𝗮𝘁𝘂𝗹𝗶𝗮 𝗵𝗮𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗽𝗲𝗽𝗲, 𝘂𝘄𝗲 𝗻𝗮𝘆𝗲 𝗮𝘂 𝘂𝘀𝗶𝘄𝗲 𝗻𝗮𝘆𝗲 𝗺𝗮𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝘆𝗮𝗻𝗮𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗮 𝘁𝘂.
😂😂😂😂😂😂😂Kuna aina mchepuko ukikutana nayo aisee stress zake unaweza kutamani hata ushtaki kwa wife. Eee mchepuko popote unajua balaa uliloleta ukosweswe na radi
Nipe jina tafadhali la hii muvi ya MahabaMahaba ndo yameandika hapa mimi nilikuwa naangalia muvi ya Mahaba 😅.
Kuna aina mchepuko ukikutana nayo aisee stress zake unaweza kutamani hata ushtaki kwa wife. [emoji23]Kuna aina mchepuko ukikutana nayo aisee stress zake unaweza kutamani hata ushtaki kwa wife. Eee mchepuko popote unajua balaa uliloleta ukosweswe na radi
Ni noma mzee, kuna mchepuko mmoja uliwahi kunipa stress balaa..nikatamani kuomba ushaur kwa wife.😁😁Kuna aina mchepuko ukikutana nayo aisee stress zake unaweza kutamani hata ushtaki kwa wife. Eee mchepuko popote unajua balaa uliloleta ukosweswe na radi
Location?
Nipe jina tafadhali la hii muvi ya Mahaba
Kweli kabisa!!!Au nadanganyaa ?
Uko poa lakiniKweli kabisa!!!
Nii njema kabisa na jumatatu tulliiiiivuuu! Habari ya wewe!!Uko poa lakini