mchumi boy
Member
- Jun 4, 2016
- 70
- 31
Nahitaji aina nzuri ya Pikipiki kwa ajili ya kutembelea. Je ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora, life span yke na gharama nafuu, naomba kuwasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nami pia natafuta, ila nafikiria kuchukua boxer au honda. Ila Bado natafuta ushauriNahitaji aina nzuri ya Pikipiki kwa ajili ya kutembelea. Je ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora, life span yke na gharama nafuu, naomba kuwasilisha
Ok poa, vp kuhusu honda Ace unazipata?tafuta Boxer BM150 ila mpya dukani sio kwa mtu.
Hapana sina uzoefu nazoOk poa, vp kuhusu honda Ace unazipata?
Ok Asante mkuu.Hapana sina uzoefu nazo