Aina tano za pesa zenye nguvu duniani...WHY

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,656
Reaction score
1,204
Kuwait dinar ndiyo pesa yenye nguvu kuliko zote kwa sasa ambapo ukiwa nayo moja ni sawa na hii yetu(Tsh 5509)..ya pili ni Bahrain dinar ambayo moja ni sawa na TSH 4169..Ya tatu ni Oman rial ambayo moja ni sawa na Tsh 4067 ya nne ni latvia lats ambayo moja ni Tsh 2921 na ya tano ni Uk Pound ambayo moja ni Tsh 2409 japokuwa zina badilikabadilika lakini hizi ndio pesa zenye nguvu sana,kwa mpangilio huu dola ni ya kumi na tatu katika pesa zenye nguvu,kuna bwana mmoja aliniambia pesa ya mwarabu ina nguvu kwa ajiri ya mafuta inawezakuwa kweli lakini ni kwanini Nigeria ambayo ni ya sita duniani kwa uzalishaji wa mafuta pesa yao (Naira)haina nguvu??maana pesa ya kenya ina nguvu kuliko ya nigeria..ni vitu gani vinavyofanya pesa ya nchi iwe na thamani???niliambiwa kuna kipindi cha nyuma 1960s pesa yetu ya tanzania ilikuwa na nguvu sana tsh moja ilikuwa kama dola 5 na ilikuwa na nguvu kuliko ile ya kenya,sasa inaporomoka kila siku us dola moja ni sawa na shilingi ya kwetu 1600 wakati us dola moja ni shilingi kama 80 za kenya!!!kwa afrika pesa nne zilizo na nguvu ni cedi ya ghana..pound ya sudan..botswana pula..na rand ya SA...au ufisadi pia unachangia pesa kushuka??maana nigeria kama nilivyosema ni ya sita duniani katika kuzalisha mafuta..inazalisha mafuta mara kumi zaidi ya nchi ya UAE lakini pesa yake naira haina nguvu sana..kwa nini???
 
Mkuu Ila mafut si ynaagiwa ka USD? Make USD ndo kila kitu na hizounazo zitaja haina demandoyote il n hata ongo sijaziona kwenye Oodha ya pesa za kigeni kwenye FOREX
 
Mkuu Ila mafut si ynaagiwa ka USD? Make USD ndo kila kitu na hizounazo zitaja haina demandoyote il n hata ongo sijaziona kwenye Oodha ya pesa za kigeni kwenye FOREX

Bwana chasha us dola ndio pesa inayotumika katika biashara kote duniani lakini sio kwamba ina thamani kuliko zote..ni kweli huwezikuona pesa zote duniani kwenye ubao wa FOREX ila kama unayo itabadilishwa..kuna sababu nyingi kwanini us dola itumike kama means ya trade duniani lakini moja ni kwamba usa ndio taifa linaloongoza duniani ktk biashara..wanamvutano na china baada ya gavana wa fedha wa china kutamka kwamba sasa ni wakati wa ku replace dollar ktk biz za kimataifa
 
Thanks for info i never knew this before yani mawazo yangu yote paund ndio mama kumbe cha mtoto
 
Si kweli kwamba pesa hizo ulizotaja ndio zenye nguvu duniani! Soma money pegging systems ndo utajua kwani hizo hela hazina nguvu isipokuwa paundi ya uingereza.
Kwa wale waliosoma mambo ya finance watajua kipimo cha hela yenye nguvu ni kama ifuatavyo:-
1) Confidence ya users wa hiyo pesa
2) Worldwide acceptability as a means of exchange
3) Economic strength of the issuing country
 
Kuna kitu inatwa Hard Curency, USD ndo world no one Hard Crecy na ukitaka kupima power ya pesa ni kwenye kupitia COUTRY FOREIGN EXCHANGE RESERVE, Nchi zote Dunianiikiwemo China n hizo zinazo tajwa hapo juu Reserve yao iko katika USD na si Pound wala nini
 
Kwa kweli kuhusu sarafu ya nchi kuwa na nguvu au la sidhani kama ina-reflect utajiri wa nchi! Naona ni ma namba tu ya kiuchumi na biashara za kimataifa. Maana hebu fikiria Japanese Yen 1 na Shillingi 1 ya Kenya zote hubadilishwa kwa Shillingi 18 ya Tanzania. Kwa hiyo nguvu ya pesa sidhani kama inareflect uwezo wa kiuchumi kama ambavyo kwa haraka haraka wengi hudhania hivyo, maana Japan na Kenya kiuchumi ni sawa na Tembo kwa sisimizi. Kwa kweli wachumi hebu tuelimisheni hapa, maana hata pesa ya burundi mara nyingi nayo eti inanguvu kuliko shillingi ya tz.
 
Wote mmeongea vizuri sana chasha..kubota..investa..lakini mimi nachoongelea ni kwamba chasha ukiwa na oman rial 20 na kubota akiwa na UK pound 20 mkienda posta kubadilisha chasha mwenye oman rial atakuwa na pesa zaidi ya kubota mwenye paund...zamani ningekwambia uende kwenye maduka ya kubadili pesa ukaulize...lakini siku hizi teknolojia ni kubwa google utizame pesa ya wapi yenye nguvu kisha rudi utoe maoni..naomba chasha ufanye hivyo...mada ni pesa gani yenye nguvu sio inayotumika sana..karibuni
 

Mmeanza........Hii elimu ya kukariri watanzania haitatufikisha popote!!!! Ulivyokariri darasani ulipokuwa unasoma ka-digrii kako ka finance basi unadhani kanatumika popote? Soma mada vizuri ndo utaelewa.... Mtoa mada amelinganisha na pesa ya Tanzania, na wala hajalinganisha na fedha ya nchi yoyote duniani. Amelinganisha na fedha yetu ya madafu maana ukiitaka Dinar ya Kuwait itakubidi uchukue hela zetu za madafu ukainunue ndo uende kuwait!!!
 

Very good!!! Wewe ndo umeelewa mada. Wengine wanaleta ubishi kisa hela hiyo inatoka ka-nchi kadogo tu-Kuwait, na isitoshe wanakaa waarabu goigoi wasioweza kufanya kazi kama nchi hizo. Siyo hoja... Hoja ni pesa gani ni ghali kuliko zote kama ulivyosema wewe.
 
Malyenge umeelewa vizuri nilichokuwa nasema..watu wengi wanadhani dola ndio yenye thamani kubwa kwa kuwa inaonekana kila sehemu sivyo..katika currency kumi zenye thamani duniani us dola haipo..kuna vinchi vidogo visivyojulikana lakini pesa zao zipo juu sana..kuwaiti dinar ukiwa nazo 2000 ata waarabu wenyewe watakushangaa is so poweful..ni mara tatu ya dola..chasa anasema hajawai kuziona kwenye exchange zipo...au tumia tu simu yako google currency conveter itakupa jibu..nashukuru sana kunielewa malyenge
 
Labda niulize hapa mnajua hata pesa ya malawi huwa inapanda sana kuliko tz sh,,?
Juzi kati hapa Zambia wamebadilisha pesa yao kuondoa masifuri matatu ,,,,,
Zk 1000 sasa ni zk 1
Zk 10000 sasa n zk 10
Zk 20000 sasa ni zk 20
Zk 50000 sasa ni zk 50
Kumbuka zambia pesa yao ilifika mpaka noti ya elfu hamsini..
Ukilinganisha na exchange ilivyokua kabla,,zk1000= 300 tzsh au 285
So hapa kwa sasa baada ya kuondoa masifuri matatu inamaa kwa sasa
Zk 1 = tzsh 300 yaani kwa mkato huo unaweza sema Zambia katupiku ki uchumi?
 
Pamoja na hayo yote bado USD inabakia kuwa ndo the world no one Hard curency, na tuachane na hizo za quite, je World demand ya Foreign curency ikoje? Je Tanzania ili tufanye International Trade tunahitaji Dinar? Jibu ni hapana tunahitaji USD.

CHINA Nchi ya Pili Pili kiuchumi Duniani ina ongoza kwa Reserve ya fedha za Kigeni ambazo ni USD na si Dinar wala Pound wala nini

[TABLE="class: wikitable sortable jquery-tablesorter"]
[TR]
[TH="class: headerSort"]Rank[/TH]
[TH="class: headerSort"]Country/monetary authority[/TH]
[TH="class: headerSort"]Foreign exchange reserves
(Millions of US$)
[/TH]
[TH="class: headerSort"]Figures as of
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD] People's Republic of China
[/TD]
[TD]3,549,000[/TD]
[TD]Dec 2012[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD] Japan[/TD]
[TD]1,258,809[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD] Eurozone
[/TD]
[TD]915,061[/TD]
[TD]Jan 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD] Saudi Arabia[/TD]
[TD]626,800[/TD]
[TD]Dec 2012[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD] Russia[/TD]
[TD]527,708[/TD]
[TD]Mar 2013[SUP][3][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD] Switzerland[/TD]
[TD]522,187[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD] Republic of China (Taiwan)[/TD]
[TD]403,170[/TD]
[TD]Dec 2012[SUP][4][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD] Brazil[/TD]
[TD]373,742[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD] Republic of Korea[/TD]
[TD]327,395[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD] Hong Kong[/TD]
[TD]304,774[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD] India[/TD]
[TD]290,912[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD] Singapore[/TD]
[TD]259,136[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD] Germany[/TD]
[TD]240,552[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD] Algeria[/TD]
[TD]190,500[/TD]
[TD]Dec 2012[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD] Thailand[/TD]
[TD]179,272[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15[/TD]
[TD] France[/TD]
[TD]179,240[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD] Italy[/TD]
[TD]175,589[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17[/TD]
[TD] Mexico[/TD]
[TD]171,253[/TD]
[TD]Jan 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD] United States[/TD]
[TD]148,039[/TD]
[TD]Mar 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD] Malaysia[/TD]
[TD]140,307[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20[/TD]
[TD] Libya[/TD]
[TD]130,300[/TD]
[TD]Dec 2012[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]21[/TD]
[TD] United Kingdom[/TD]
[TD]126,793[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]22[/TD]
[TD] Turkey[/TD]
[TD]123,227[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]23[/TD]
[TD] Poland[/TD]
[TD]107,091[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]24[/TD]
[TD] Indonesia[/TD]
[TD]105,183[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25[/TD]
[TD] Denmark[/TD]
[TD]90,251[/TD]
[TD]Jan 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]26[/TD]
[TD] Philippines[/TD]
[TD]85,760[/TD]
[TD]Jan 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]27[/TD]
[TD] Israel[/TD]
[TD]78,398[/TD]
[TD]Jan 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]28[/TD]
[TD] Iran[/TD]
[TD]69,860[/TD]
[TD]Dec 2012[SUP][1][/SUP][SUP][5][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]29[/TD]
[TD] Canada[/TD]
[TD]69,358[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30[/TD]
[TD] Sweden[/TD]
[TD]66,153[/TD]
[TD]Feb 2013[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]31[/TD]
[TD] Peru[/TD]
[TD]65,210[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hapa kuna mambo mawili tofauti yanayoongelewa kwa pamoja bila watu kuelewa na ndo maana hamuelewani.. Kuna swala la THAMANI YA PESA (CURRENCY VALUE) na NGUVU YA PESA KIBIASHARA(commonly traded currencies)...Ukiongelea nguvu ya pesa kibiashara ndo hapo unakutana na USD ikifuatiwa na Euro na hizi pound sijui ambazo ni popular na zina nguvu kibiashara kutokana na nature ya nchi zake (USD - Marekani)..lakini ukija kwenye swala la Thamani ya pesa ndo unakutana na kina Dinar za kuwait na nyinginezo zilizotajwa hapo juu..Kwa kithibitisha haya someni hizi link mtaelewa zaidi tofauti yake:

Highest-valued currency unit - Wikipedia, the free encyclopedia

The 6 Most-Traded Currencies And Why They're So Popular
 
mkuuu naona unaangalia comparison ya hizi currencies na madafu lakini kiukweli usd ndio inatumika zaidi kwenye trading ndio maana wachina wana reserve kubwa ..........ya usd .....tuache theory za darasani make tutachanganyana humu ....ila tu kuwa na reserve kubwa ya usd ,kuongeza reserve ya gold na kuzalisha vitu saana na kuuza nje ili tupate pesa za kigeni zaidi vinaweza saidia kuinua exchange rates yetu
 

Huyo ndiye mwanzisha mada, kwa nini asielewe wakati thread ni yake....hahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…