Aina tatu za watu katika maisha yako

Ni asilimia chache sana za kumpata mtu mzizi Tanzania hii zaidi ya mzazi wako japo na wenyewe siyo wote but most of them ndo huwa wanaplay part ya mtu mzizi.
 
Life kuna muda linakulazimisha uwe mkatili kwa afya yako kiuchumi, kiroho na kiakili, sasa wewe endelea kuwa na wema wa mshumaa uone kitachokukuta.
 
Ulifanikiwa kumlipa? Ulifidiwa mali zako?
 
Ulifanikiwa kumlipa? Ulifidiwa mali zako?
Muhindi nilimlipa nilimlipa nusu tu akawa ananidai sana tena mpaka vitisho nikakimbia mji na mpaka leo ananidai ila kiukweli simlipi hata iweje na kuhusu fidia mimi sikupata waliokapata ni wale ambao walichomewa moto na sio kuiba tu
 
1. Watu wa Majani
2. Watu wa Tawi
3. Watu wa Mizizi

WATU WA MAJANI:
Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka, lakini upepo ukija wataondoka.
Unatakiwa kuwa makini na hawa watu maana wanakupenda mambo yakiwa sawa ila upepo ukija watakuacha [emoji3064]

WATU WA TAWI:
Wana nguvu, lakini unahitaji kuwa mwangalifu nao pia. Wanaachana wakati maisha yanakuwa magumu na hawawezi kuhimili uzito mwingi. Wanaweza kukaa na wewe katika baadhi ya misimu, lakini wataenda inapokuwa ngumu zaidi [emoji22]

WATU WA MIZIZI:
Watu hawa ni muhimu sana kwa sababu hawafanyi mambo ili waonekane. Wanakuunga mkono hata ukipitia wakati mgumu watakunywesha maji na hawaguswi na msimamo wako wanakupenda hivyo hivyo...
Sio watu wote unaokutana nao au ni marafiki zako, watabaki na wewe.
Ni watu wa aina ya mizizi pekee ndio watakaa bila kujali msimu [emoji122][emoji3526].
 
Umecopy hapa👇🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…