Aina tofauti za nyumba na majina yake

Aina tofauti za nyumba na majina yake

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
215
Reaction score
487
1625673309469.png
 
Condominium
Palace
Castle
Mansion
hapo ndio patamu.
japo hata duplex ni nzuri kwa wale wanaojenga kwa ajili ya "kotazi"
 
Kuongezea maarifa. Condomimium na apartment ni kitu kimoja vyote ni kwa ajili ya makazi ndani ya ghorofa ambapo mnakuwa familia kadhaa. Ila tofauti yake ni kwamba kwa condominium familia ina umiliki wa makazi wakati kwenye apartment familia haina umiliki wa makazi; inapangisha(rent).
 
Back
Top Bottom