Kuongezea maarifa. Condomimium na apartment ni kitu kimoja vyote ni kwa ajili ya makazi ndani ya ghorofa ambapo mnakuwa familia kadhaa. Ila tofauti yake ni kwamba kwa condominium familia ina umiliki wa makazi wakati kwenye apartment familia haina umiliki wa makazi; inapangisha(rent).