peter kasanga
Member
- Jun 1, 2017
- 49
- 9
Msaada ni aina gani ya biashara nayo weza kuanzisha chuoni na ikanipa faida.
Kuna uzi upo huku umejibu swali lako ukikosa nenda ka google alafu uchangue yenye link ya Jf. Au zingatia wazo la huyu mkuuMsaada ni aina gani ya biashara nayo weza kuanzisha chuoni na ikanipa faida.
kwa kuboresha tu labda awe na kasimple site (website) kwa ajili ya kuweka bidhaa zake mtu akiipenda anampigia directUza nguo za kiume. Boksa, vest, jezi kadeti.
unasoma chuo gani?
kwa ufupi nahisi photocopy na kuprint zitakulipa
Mimi nilikua nafanya biashara ya kuuza diary nilikua naenda kariakoo nanunua diary zilizo pita muda wake kwa jumla nilikua napata kwa 2000 au 2500 ninaenda kuzaa 3500 ad 4000 wanafunz wengi wa chuo wanapenda kutumia wakat wa kutake noteMsaada ni aina gani ya biashara nayo weza kuanzisha chuoni na ikanipa faida.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kua dalali mjanja mjanja wa kuuza simu
Kama uko serious na masomo na hutaki kufeli, biashara rahisi kuicontrol ni ya kuuza vocha,mpesa/tigopesa,na kuprint/photocopy documents.Msaada ni aina gani ya biashara nayo weza kuanzisha chuoni na ikanipa faida.