Aina ya Biashara ndani ya Wilaya ya Tunduru

Aina ya Biashara ndani ya Wilaya ya Tunduru

kang oc

Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
20
Reaction score
18
Habari Wakuu, Bila shaka Mungu ametupa uzima hivyo hatuna budi kumshukuru..!

Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu...... Naomba wajuvi, wenyeji na hata wafanya biashara wazoefu mnisaidie mawazo mbali mbali ya kibiashara ambayo ninaweza kuifanya katika wilaya ya Tunduru kwa mtaji wa Milioni Mbili.....!

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom