Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,624
- 3,143
Basi huna tumbo baya, mm nguo kubana naziogopa na huu utu uzima sijui ndio maana sipendi kubanwa.Hhahaha...ww vaa tu kwan dhambi kuonekana..mm nikiamua kujibana najibana tu tena nimeacha kuvaa ile mikanda..akuu..natikisika tu😂😂
Nina katumbooo kabayaaa kachini. Nikila sasa ndio kanajaa zaidi siku niseme nisile uhi utasema kigoli huyu hapa kumbeeeee