Divine... JF-Expert Member Joined May 22, 2015 Posts 1,624 Reaction score 3,143 May 2, 2019 #41 manengelo said: Hhahaha...ww vaa tu kwan dhambi kuonekana..mm nikiamua kujibana najibana tu tena nimeacha kuvaa ile mikanda..akuu..natikisika tu๐๐ Click to expand... Basi huna tumbo baya, mm nguo kubana naziogopa na huu utu uzima sijui ndio maana sipendi kubanwa. Nina katumbooo kabayaaa kachini. Nikila sasa ndio kanajaa zaidi siku niseme nisile uhi utasema kigoli huyu hapa kumbeeeee
manengelo said: Hhahaha...ww vaa tu kwan dhambi kuonekana..mm nikiamua kujibana najibana tu tena nimeacha kuvaa ile mikanda..akuu..natikisika tu๐๐ Click to expand... Basi huna tumbo baya, mm nguo kubana naziogopa na huu utu uzima sijui ndio maana sipendi kubanwa. Nina katumbooo kabayaaa kachini. Nikila sasa ndio kanajaa zaidi siku niseme nisile uhi utasema kigoli huyu hapa kumbeeeee
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 May 2, 2019 #42 Divine... said: Basi huna tumbo baya, mm nguo kubana naziogopa na huu utu uzima sijui ndio maana sipendi kubanwa. Nina katumbooo kabayaaa kachini. Nikila sasa ndio kanajaa zaidi siku niseme nisile uhi utasema kigoli huyu hapa kumbeeeee Click to expand... Hahahaa nimecheka balaa...mm nikisimama halionekani kbs...utanipendร a..weee nikae sasa๐๐๐..ila ninaliangalia tu..mazoez wito sana yaan
Divine... said: Basi huna tumbo baya, mm nguo kubana naziogopa na huu utu uzima sijui ndio maana sipendi kubanwa. Nina katumbooo kabayaaa kachini. Nikila sasa ndio kanajaa zaidi siku niseme nisile uhi utasema kigoli huyu hapa kumbeeeee Click to expand... Hahahaa nimecheka balaa...mm nikisimama halionekani kbs...utanipendร a..weee nikae sasa๐๐๐..ila ninaliangalia tu..mazoez wito sana yaan
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 May 3, 2019 #43 Mwl.RCT said: Je bado unaendelea na mazoezi? Click to expand... Na endelea chief ,nashukuru labda hii ramadhani ndio itanipunguza nguvu
Mwl.RCT said: Je bado unaendelea na mazoezi? Click to expand... Na endelea chief ,nashukuru labda hii ramadhani ndio itanipunguza nguvu