Elijah
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,663
- 420
Watu wengi wanapenda kwenda gym kufanya mazoezi,lakini wengi wao pia hushindwa kwa sababu mbalimbali kama umbali,kukosa muda,etc
Lakini usiwe moyo,kuna namna nzuri ya kufanya mazoezi ukiwa nyumbani.
Ufanye nini basi? Haya ni baadhi tu ya mazoezi ambayo kwa kweli unaweza kuyafanya ukiwa nyumbani bila gharama yoyote
1.Pushups
2.Squats(kusimama na kuchuchumaa)
3.Chinups(kujivuta juu)
4.Kuruka kamba
5.Situps(zoezi la tumbo)
Pamoja na mazoezi mengI ya kunyoosha viungo kama mgongo,mapaja nk
Kama uko karibu na kiwanja ni advantage kubwa kwako kufanya mazoezi ya jogging pia
Inapendeza sana kufanya mazoezi na mke au mpenzi wako au partner wako wa biashara
Ahsante