Aina ya pombe na tabia za wanywaji wake

Aina ya pombe na tabia za wanywaji wake

Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
12,576
Reaction score
14,522
Hivi kwa nn ukiwa Bar au eneo lolote la kupata drinks ukianza ile kuongea kwa sauti ya juu tofauti na awali wanazengo hutupia jicho kinywaji unachotumia?

Kuna uhusiano wowote wa aina ya pombe na tabia ya mtumiaji?
 
Kuna Ka ukweli fulani hapa ukinywa banana na ukinywa Heineken tofauti kabisa
 
Hii Itakupa Half Heaven Yaani Duniani Na Juu 50/50
20220329_164356.jpg
20220329_164356.jpg

ili nimesibitisha baada kunywa henesi nikawa naongea kibosi na mipango mingi.nilivo kuja kunywa k-vant kila siku naonekana
🤣🤣🤣🤣
Umeua mkuu....
 
Kuna mwanangu mmoja huwa anakunywa sengereti....naona huwa anaona hapati steam basi ana-mix na K vanga...yaani akishafanya hivyo tu anabadilika pale pale anaanza kuwa mtu wa ovyo mara akumbatie wadada wanaopita karibu yaani ni tafurani!!!
 
Pombe zinazo anzia 1500 kushuka chini uwezi kuwa smart.
pombe kali zinazo anzia 10000 kushuka chini uwezi kuwa smart.

ili nimesibitisha baada kunywa henesi nikawa naongea kibosi na mipango mingi.nilivo kuja kunywa k-vant kila siku naonekana kituko
Bwahahaha, hivi ile kitu ukinywa lazima uanze kuongea kizungu tu yani. Unajikuta umeyapatia maisha kweliiii.

Kuna mwanangu akigonga tu Hennessy anaanza kuhurubiri kiingereza, aiseeeh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bwahahaha, hivi ile kitu ukinywa lazima uanze kuongea kizungu tu yani. Unajikuta umeyapatia maisha kweliiii.

Kuna mwanangu akigonga tu Hennessy anaanza kuhurubiri kiingereza, aiseeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mwanangu mmoja huwa anakunywa sengereti....naona huwa anaona hapati steam basi ana-mix na K vanga...yaani akishafanya hivyo tu anabadilika pale pale anaanza kuwa mtu wa ovyo mara akumbatie wadada wanaopita karibu yaani ni tafurani!!!
😂😂😂😂
 
Pombe zinazo anzia 1500 kushuka chini uwezi kuwa smart.
pombe kali zinazo anzia 10000 kushuka chini uwezi kuwa smart.

ili nimesibitisha baada kunywa henesi nikawa naongea kibosi na mipango mingi.nilivo kuja kunywa k-vant kila siku naonekana kituko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom