Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Hizi mbona kama mimi kabisa4. Washindani:
Wanaweza kutaka kukuona ukifanya vizuri lakini hawataki kukuona ukifanya vizuri zaidi yao vinginevyo wanajaribu kukushusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi mbona kama mimi kabisa4. Washindani:
Wanaweza kutaka kukuona ukifanya vizuri lakini hawataki kukuona ukifanya vizuri zaidi yao vinginevyo wanajaribu kukushusha.
6. Slay Queens, Wadangaji na Malaya.
Hawa watakufilisi, kukuletea nuksi na kufifisha nyota. Kaa mbali nao.
Uwezi wazuia binadam wasiseme/wasikuseme.Watu kadhaa ofisini wananong'onezana kila muda. Sometimes wanaweza kumsema mtu waziwazi unawasikia japo wanazungumza kwa magumbo.
Dunia imejaa wanafiki. Nawazaga kwamba hata mie nikiwa sipo nasemwa sana. Sasa najikuta nawachukia sana. Najipa amani ya moyo ila tabia zao kiukweli zinanichosha sana.
Wamejaa uduni kujiona wanajua sana nawaangaliaga tu
Upo sahihi mkuu, kuwaepuka sio kutokuishi nao, ni kujifunza namna ya kuishi na watu hao.kuwaepuka watu kama hao labda ukaishi jangwani na mijusi kama mtu una pambana kama tulivyoagizwa kula kwa jasho watu hao ni lazima uishi nao tu kibabe labla kama wewe ni
mwanamke mdangaji, lazima tujifunze kua dynamic mtu hauwezi kua static ni kama kusema unaendesha gari yako umetokea kariakoo unaelekea temeke halafu kichwani kwako ukataka uwe unapishana na bmw tu haiwezekani.