wakuu habari zenu,kutokana na utafiti wangu humu jf nimegundua jf kuna aina nyingi tu za watu katika majukwaa mbalimbali.Aina Hizi Ni Kutokana Na Jinsi Ushiriki Wao Yaan Wanashiriki Kwa Namna Gani Humu Jf...Nazo Ni
1.Wajuzi Wa Mambo-yaan Watu Hawa Ukiwatag Tu Kama Kuna Jambo Linakusumbua Waite Tu Utaelewa Hadi Mengine Yasiyoulizwa.Kiufupi Ni Watu Muhimu Sana Watu Hao Ni Kama Pasco,msezamkulu,mshana Jr,kaboom N.K
2.Changamsha Genge-hawa Ni Wale Wanajf Ambao Ukiona Tu Kichwa Cha Thread Unaanza Kuvutiwa Uone Kilichopo Ndani.Watv Hao Ni Kama Lara1,general Galadudu,vampire_hunter N.K Yaan Stori Zao Huwa Hazichoshi.
3.Wachangiaji Kuntu-yaan Hawa Huwa Mara Chache Sana Wanaanzishaga Thread Lakini Michango Yao Ni Kuntu,watu Kama Nifah,heaven Sent,everlin Salt,boss Ni Mifano Tu Midogo
4.Fast Likers-hawa Si Wachoyo Wa Like Wapo Fasta Sana Nao Ni Mzizi Mkavu,heaven Sent,kaboom,benny N.K
5.Vilaza-hawa Ni Wale Ambao Hawajielewi Lakini Kwa Majina Nawahifadhi Yan Hawa Kazi Yao Ni Kuvuruga Kauli Utasikia Weka Picha Vilaza Tu
Hahahaaa..... Haya bhana.Ndo Mana Ktk Kila Kundi Kuna N.K Maana Yake Na Kadhalika Yaan Wapo Wengi
Bilashaka la 5 atakuwawe upo kundi gani
ha ha ha ha sijatajwa hata najistukia tu mimiUmetajwa wapi? Au uko kwenye kundi la majina yaliyohifadhiwa.
unajipendekeza kwa moderator acha wivu eti kisa we hujatajwa kundi lolote anzisha thread yako halafu ujitaje upo kundi la pili
Mimi hivyo naona ni vituko tuwakuu habari zenu,kutokana na utafiti wangu humu jf nimegundua jf kuna aina nyingi tu za watu katika majukwaa mbalimbali.Aina Hizi Ni Kutokana Na Jinsi Ushiriki Wao Yaan Wanashiriki Kwa Namna Gani Humu Jf...Nazo Ni