Aina Ya Watu Waliopo Jf...

Aina Ya Watu Waliopo Jf...

Thread kama hii huwa inagawa watu hapa jf! Na kuonekana member wengine kama hawana dhamani hapa jf au hawana michango yoyote hapa jf! Moderator Paw Mhariri tunaomba hii thread muitupilie mbali
 
wakuu habari zenu,kutokana na utafiti wangu humu jf nimegundua jf kuna aina nyingi tu za watu katika majukwaa mbalimbali.Aina Hizi Ni Kutokana Na Jinsi Ushiriki Wao Yaan Wanashiriki Kwa Namna Gani Humu Jf...Nazo Ni
1.Wajuzi Wa Mambo-yaan Watu Hawa Ukiwatag Tu Kama Kuna Jambo Linakusumbua Waite Tu Utaelewa Hadi Mengine Yasiyoulizwa.Kiufupi Ni Watu Muhimu Sana Watu Hao Ni Kama Pasco,msezamkulu,mshana Jr,kaboom N.K
2.Changamsha Genge-hawa Ni Wale Wanajf Ambao Ukiona Tu Kichwa Cha Thread Unaanza Kuvutiwa Uone Kilichopo Ndani.Watv Hao Ni Kama Lara1,general Galadudu,vampire_hunter N.K Yaan Stori Zao Huwa Hazichoshi.
3.Wachangiaji Kuntu-yaan Hawa Huwa Mara Chache Sana Wanaanzishaga Thread Lakini Michango Yao Ni Kuntu,watu Kama Nifah,heaven Sent,everlin Salt,boss Ni Mifano Tu Midogo
4.Fast Likers-hawa Si Wachoyo Wa Like Wapo Fasta Sana Nao Ni Mzizi Mkavu,heaven Sent,kaboom,benny N.K
5.Vilaza-hawa Ni Wale Ambao Hawajielewi Lakini Kwa Majina Nawahifadhi Yan Hawa Kazi Yao Ni Kuvuruga Kauli Utasikia Weka Picha Vilaza Tu

CRA.P.....

ILA MZIZI SURE SIO MCHOYO WA LIKE....
 
Thread kama hii huwa inagawa watu hapa jf! Na kuonekana member wengine kama hawana dhamani hapa jf au hawana michango yoyote hapa jf! Moderator Paw Mhariri tunaomba hii thread muitupilie mbali
unajipendekeza kwa moderator acha wivu eti kisa we hujatajwa kundi lolote anzisha thread yako halafu ujitaje upo kundi la pili
 
Kuna members wengine JF sumtym wanatabia na itikadi zaki bongo movie bongo movie. Tehe

Ni shida sanaa.
 
Kwa maoni yangu mchanyato huo wa wachoyo wa likes na wale matajiri wa likes na wajuaji na vilaza wa JF ndipo inaponogea hapo sababu kama kuna mada murua kisha kilaza akafanya yake hapo wajuzi huja na kurekebisha au kilaza kaanzisha uzi wa hovyo waungwana hutokea na kurekebisha.
 
wakuu habari zenu,kutokana na utafiti wangu humu jf nimegundua jf kuna aina nyingi tu za watu katika majukwaa mbalimbali.Aina Hizi Ni Kutokana Na Jinsi Ushiriki Wao Yaan Wanashiriki Kwa Namna Gani Humu Jf...Nazo Ni
1.Wajuzi Wa Mambo-yaan Watu Hawa Ukiwatag Tu Kama Kuna Jambo Linakusumbua Waite Tu Utaelewa Hadi Mengine Yasiyoulizwa.Kiufupi Ni Watu Muhimu Sana Watu Hao Ni Kama Pasco,msezamkulu,mshana Jr,kaboom N.K
2.Changamsha Genge-hawa Ni Wale Wanajf Ambao Ukiona Tu Kichwa Cha Thread Unaanza Kuvutiwa Uone Kilichopo Ndani.Watv Hao Ni Kama Lara1,general Galadudu,vampire_hunter N.K Yaan Stori Zao Huwa Hazichoshi.
3.Wachangiaji Kuntu-yaan Hawa Huwa Mara Chache Sana Wanaanzishaga Thread Lakini Michango Yao Ni Kuntu,watu Kama Nifah,heaven Sent,everlin Salt,boss Ni Mifano Tu Midogo
4.Fast Likers-hawa Si Wachoyo Wa Like Wapo Fasta Sana Nao Ni Mzizi Mkavu,heaven Sent,kaboom,benny N.K
5.Vilaza-hawa Ni Wale Ambao Hawajielewi Lakini Kwa Majina Nawahifadhi Yan Hawa Kazi Yao Ni Kuvuruga Kauli Utasikia Weka Picha Vilaza Tu
Mimi hivyo naona ni vituko tu
[emoji117] Vituko vya JF[emoji118] nishawahi kuandika sioni jipya hapo...soma naww ujijue coz inakuhusu
 
Mbona inaonesha kuwa sample yako ni unrepresentative!! Ukubwa wa sample yako unadetermine objectivity ya matokeo yako!! Angalia jumla ya members wa JF wako wangapi.
 
Back
Top Bottom