Aina za biashara zilizopigwa marufuku kwa wageni wasio raia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
  • Uuzaji wa bidhaa kwa jumla na rejareja (isipokuwa supermarket, maduka ya bidhaa maalum, na vituo vya jumla vya wazalishaji wa ndani).
  • Uhamishaji wa fedha kwa njia ya simu (mobile money).
  • Matengenezo ya simu na vifaa vya kielektroniki.
  • Biashara ya saluni (isipokuwa kwenye hoteli au kwa shughuli za utalii).
  • Usafi wa nyumbani, ofisini na mazingira.
  • Uchimbaji mdogo wa madini.
  • Shughuli za posta na usambazaji wa vifurushi ndani ya nchi.
  • Uongozi wa watalii ndani ya nchi.
  • Kuanzisha na kuendesha redio au televisheni.
  • Kuendesha makumbusho au maduka ya kazi za mikono (curio shops).
  • Dalali au wakala wa biashara na mali isiyohamishika.
  • Huduma za upakuaji na usafirishaji mizigo (clearing and forwarding).
  • Ununuzi wa mazao mashambani moja kwa moja.
  • Umiliki au uendeshaji wa mashine za kamari (isipokuwa kwenye casino).
  • Umiliki na uendeshaji wa viwanda vidogo na vya kati.
Mwanzoni haikuwepo hii list ya makosa wala adhabu kama zilivyoelezewa hapo.

Sasa hivi Raia wa kigeni atakayejihusisha na hizo biashara atapigwa faini 10M au kifungo not less than 6months pamoja na kufutiwa visa na kibali cha kuishi nchini.

Lakini pia kwa raia wa kitanzania atakayemsaidia mgeni kujishughulisha na hizo biashara naye akikutwa na hatia atapigwa fine not less than 5M au kifungo si chini ya miezi mitatu

SHERIA YA LESENI ZA BIASHARA (SURA YA 101)
AMRI YA KUPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA BIASHARA KWA WAGENI WASIO RAIA – 2025

(Imetolewa chini ya Kifungu cha 14A(2))

1. Jina la Amri
Amri hii itajulikana kama Amri ya Leseni za Biashara (Marufuku ya Shughuli za Biashara kwa Wageni Wasio Raia), 2025.

2. Tafsiri
Isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo, "mgeni asiye raia" atakuwa na maana iliyotolewa katika Sheria ya Uraia ya Tanzania (Sura ya 357).

3. Shughuli za Biashara Zilizopigwa Marufuku
Shughuli za biashara zilizoorodheshwa kwenye Ratiba ya Amri hii hazitaruhusiwa kufanywa na wageni wasio raia.
  1. Kuanzia tarehe ya kuanza kutumika kwa Amri hii, mamlaka za utoaji leseni hazitoruhusiwa kutoa wala kufanyia upya leseni kwa mgeni asiye raia kufanya biashara yoyote iliyopigwa marufuku.
  2. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa kama:
    (a) Ni mgeni asiye raia na anajihusisha na mojawapo ya shughuli zilizopigwa marufuku. Akipatikana na hatia, atatozwa faini isiyopungua shilingi milioni kumi au kifungo kisichozidi miezi sita, pamoja na kufutiwa visa na kibali cha ukaazi.
    (b)
    Ni Mtanzania na anamsaidia au kumpa msaada mgeni asiye raia kufanya shughuli yoyote iliyopigwa marufuku. Akipatikana na hatia, atatozwa faini ya shilingi milioni tano au kifungo kisichozidi miezi mitatu.
4. Mpito
Mgeni asiye raia ambaye tayari ana leseni halali kwa shughuli yoyote kati ya zile zilizopigwa marufuku ataendelea kufanya shughuli hiyo hadi leseni hiyo itakapomalizika muda wake.
Screenshot 2025-07-30 084552.jpg

photo_2025-07-29_21-20-08.jpg
​
 
Attachments

  • Screenshot 2025-07-30 084514.jpg
    Screenshot 2025-07-30 084514.jpg
    117.6 KB · Views: 59
  • Uuzaji wa bidhaa kwa jumla na rejareja (isipokuwa supermarket, maduka ya bidhaa maalum, na vituo vya jumla vya wazalishaji wa ndani).
  • Uhamishaji wa fedha kwa njia ya simu (mobile money).
  • Matengenezo ya simu na vifaa vya kielektroniki.
  • Biashara ya saluni (isipokuwa kwenye hoteli au kwa shughuli za utalii).
  • Usafi wa nyumbani, ofisini na mazingira.
  • Uchimbaji mdogo wa madini.
  • Shughuli za posta na usambazaji wa vifurushi ndani ya nchi.
  • Uongozi wa watalii ndani ya nchi.
  • Kuanzisha na kuendesha redio au televisheni.
  • Kuendesha makumbusho au maduka ya kazi za mikono (curio shops).
  • Dalali au wakala wa biashara na mali isiyohamishika.
  • Huduma za upakuaji na usafirishaji mizigo (clearing and forwarding).
  • Ununuzi wa mazao mashambani moja kwa moja.
  • Umiliki au uendeshaji wa mashine za kamari (isipokuwa kwenye casino).
  • Umiliki na uendeshaji wa viwanda vidogo na vya kati.
Mwanzoni haikuwepo hii list ya makosa wala adhabu kama zilivyoelezewa hapo.

Sasa hivi Raia wa kigeni atakayejihusisha na hizo biashara atapigwa faini 10M au kifungo not less than 6months pamoja na kufutiwa visa na kibali cha kuishi nchini.

Lakini pia kwa raia wa kitanzania atakayemsaidia mgeni kujishughulisha na hizo biashara naye akikutwa na hatia atapigwa fine not less than 5M au kifungo si chini ya miezi mitatu

SHERIA YA LESENI ZA BIASHARA (SURA YA 101)
AMRI YA KUPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA BIASHARA KWA WAGENI WASIO RAIA – 2025

(Imetolewa chini ya Kifungu cha 14A(2))

1. Jina la Amri​

Amri hii itajulikana kama Amri ya Leseni za Biashara (Marufuku ya Shughuli za Biashara kwa Wageni Wasio Raia), 2025.

2. Tafsiri​

Isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo, "mgeni asiye raia" atakuwa na maana iliyotolewa katika Sheria ya Uraia ya Tanzania (Sura ya 357).

3. Shughuli za Biashara Zilizopigwa Marufuku​

  1. Shughuli za biashara zilizoorodheshwa kwenye Ratiba ya Amri hii hazitaruhusiwa kufanywa na wageni wasio raia.
  2. Kuanzia tarehe ya kuanza kutumika kwa Amri hii, mamlaka za utoaji leseni hazitoruhusiwa kutoa wala kufanyia upya leseni kwa mgeni asiye raia kufanya biashara yoyote iliyopigwa marufuku.
  3. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa kama:
    (a) Ni mgeni asiye raia na anajihusisha na mojawapo ya shughuli zilizopigwa marufuku. Akipatikana na hatia, atatozwa faini isiyopungua shilingi milioni kumi au kifungo kisichozidi miezi sita, pamoja na kufutiwa visa na kibali cha ukaazi.
    (b)
    Ni Mtanzania na anamsaidia au kumpa msaada mgeni asiye raia kufanya shughuli yoyote iliyopigwa marufuku. Akipatikana na hatia, atatozwa faini ya shilingi milioni tano au kifungo kisichozidi miezi mitatu.

4. Mpito​

Mgeni asiye raia ambaye tayari ana leseni halali kwa shughuli yoyote kati ya zile zilizopigwa marufuku ataendelea kufanya shughuli hiyo hadi leseni hiyo itakapomalizika muda wake.

View attachment 3423688
Hapa mgeni asiye raia ni ngozi nyeupe tu au hata weusi? Kwasababu hii sheria imetungwa kwa mihemko ya Wachina kariakoo na machimbo ya madini.
 
Kwanini Wasilete Reforms kwanza za uchaguzi , mweI wa 10, Hawa wachina rutadeal nao hata mwakani, tunachotaka Sasa ni reform mengine badae
 
Logic ni ipi kuchagua hizo biashara?
Nani katunga hizo sheria? Bunge? Lini?
Hao wageni wapo nchini kufanya biashara zipi hasa?
Je, tukienda nchi zao hizo biashara tunakatazwa kufanya?
 
Nini mantiki ya kuwakataza wageni kufanya biashara ya kamari mtaani lakini hapo hapo kuruhusiwa kuifanya kwenye Casino?

Ama kumkataza mgeni kufanya biashara ya saluni mtaani lakini kumruhusu kuifanya hiyo biashara kwenye hoteli?
 
Kuna utofauti Sana
 
Mbona faini na adhabu ndogo Sana
Fine milioni 10 kwa mchina si kama elfu 30 Tu ya mbongo
 
  • Uuzaji wa bidhaa kwa jumla na rejareja (isipokuwa supermarket, maduka ya bidhaa maalum, na vituo vya jumla vya wazalishaji wa ndani).
  • Uhamishaji wa fedha kwa njia ya simu (mobile money).
  • Matengenezo ya simu na vifaa vya kielektroniki.
  • Biashara ya saluni (isipokuwa kwenye hoteli au kwa shughuli za utalii).
  • Usafi wa nyumbani, ofisini na mazingira.
  • Uchimbaji mdogo wa madini.
  • Shughuli za posta na usambazaji wa vifurushi ndani ya nchi.
  • Uongozi wa watalii ndani ya nchi.
  • Kuanzisha na kuendesha redio au televisheni.
  • Kuendesha makumbusho au maduka ya kazi za mikono (curio shops).
  • Dalali au wakala wa biashara na mali isiyohamishika.
  • Huduma za upakuaji na usafirishaji mizigo (clearing and forwarding).
  • Ununuzi wa mazao mashambani moja kwa moja.
  • Umiliki au uendeshaji wa mashine za kamari (isipokuwa kwenye casino).
  • Umiliki na uendeshaji wa viwanda vidogo na vya kati.
Mwanzoni haikuwepo hii list ya makosa wala adhabu kama zilivyoelezewa hapo.

Sasa hivi Raia wa kigeni atakayejihusisha na hizo biashara atapigwa faini 10M au kifungo not less than 6months pamoja na kufutiwa visa na kibali cha kuishi nchini.

Lakini pia kwa raia wa kitanzania atakayemsaidia mgeni kujishughulisha na hizo biashara naye akikutwa na hatia atapigwa fine not less than 5M au kifungo si chini ya miezi mitatu

SHERIA YA LESENI ZA BIASHARA (SURA YA 101)
AMRI YA KUPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA BIASHARA KWA WAGENI WASIO RAIA – 2025

(Imetolewa chini ya Kifungu cha 14A(2))

1. Jina la Amri
Amri hii itajulikana kama Amri ya Leseni za Biashara (Marufuku ya Shughuli za Biashara kwa Wageni Wasio Raia), 2025.

2. Tafsiri
Isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo, "mgeni asiye raia" atakuwa na maana iliyotolewa katika Sheria ya Uraia ya Tanzania (Sura ya 357).

3. Shughuli za Biashara Zilizopigwa Marufuku
Shughuli za biashara zilizoorodheshwa kwenye Ratiba ya Amri hii hazitaruhusiwa kufanywa na wageni wasio raia.
  1. Kuanzia tarehe ya kuanza kutumika kwa Amri hii, mamlaka za utoaji leseni hazitoruhusiwa kutoa wala kufanyia upya leseni kwa mgeni asiye raia kufanya biashara yoyote iliyopigwa marufuku.
  2. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa kama:
    (a) Ni mgeni asiye raia na anajihusisha na mojawapo ya shughuli zilizopigwa marufuku. Akipatikana na hatia, atatozwa faini isiyopungua shilingi milioni kumi au kifungo kisichozidi miezi sita, pamoja na kufutiwa visa na kibali cha ukaazi.
    (b)
    Ni Mtanzania na anamsaidia au kumpa msaada mgeni asiye raia kufanya shughuli yoyote iliyopigwa marufuku. Akipatikana na hatia, atatozwa faini ya shilingi milioni tano au kifungo kisichozidi miezi mitatu.
4. Mpito
Mgeni asiye raia ambaye tayari ana leseni halali kwa shughuli yoyote kati ya zile zilizopigwa marufuku ataendelea kufanya shughuli hiyo hadi leseni hiyo itakapomalizika muda wake.
Ukimaliza uchaguzi watarudia upya kufanya biashara zao 😀😉
 
Kuna wachina nimewashuhudia wanafungua kampuni ya clearing and forwarding wanamtumia.bwana mdogo fulani hivi
 
Back
Top Bottom