Aina za biashara zilizopigwa marufuku kwa wageni wasio raia

Wakenya wamejaa Songwe, Mbinga, Madaba, Namtumbo wanakusanya nafaka kama wako kwao Siaya.
Watulie tuwakusanyie.
Wachina nao wameingia kwenye Clearing and forwarding ili mizigo yao washughulikie wenyewe.
Nao watulie
Huu ni uamuzi Sahihi
 
Logic ni ipi kuchagua hizo biashara?
Nani katunga hizo sheria? Bunge? Lini?
Hao wageni wapo nchini kufanya biashara zipi hasa?
Je, tukienda nchi zao hizo biashara tunakatazwa kufanya?
Kwa hyo wafanye au wasifanye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…