Aina za hasira za wanawake

Aina za hasira za wanawake

1- Kuna wanawake wakikasirika biashara ya mumewe inakua nzuri na kuna wanawake wengine wakikasirika biashara ya mumewe inadorora.
2- Kuna wanawake wakikasirika mtandao wa airtel huwa unasumbua sana mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kumuona demu wa aina ya No. 4 na No. 11 Wale wa period na Kuharisa .
Nyumba ikiwa na choo kimoja ,siku hiyo shughuli ni pevu, kupigana vikumbo mlangoni kwa choo.
Wamo humu lakini wameufyata,
Jitokezeni.
 
Niliwahi kumuona demu wa aina ya No. 4 na No. 11 Wale wa period na Kuharisa .
Nyumba ikiwa na choo kimoja ,siku hiyo shughuli ni pevu, kupigana vikumbo mlangoni kwa choo.
Wamo humu lakini wameufyata,
Jitokezeni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha wanawake viumbe wa ajabu sana hadi nakuwaga nawasiwasi kama ni kweli walitoka ubavuni mwetu!
 
1
ni kulia kusiko na kipimo,tena kama ni kitu cha hisia nalia kwa uchungu kama mfiwa siwezagi kubishana nisilie ila nikilala nikiamka kesho yameniishia
sijui machozi ni.mengi sana maana nikiguswa kidogo nalia nikipiga miayo machozi yanatoka mengi utasema nalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom