EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #61
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na ww upo mama hilo kundi??
siliagi kwa sauti naugulia moyoni, ni machozi tu yanatiririka kama bomba.We hufai kukorofishwa usiku unanijazia watu waje na maturubai wakizai kuna [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
We dada ushaolewa?? Maana nahisi kama utaonewa saaana na baharia asiyekujua, watu kama wewe nawaogopaga maana wananifanyaga natubu usiku peke yangu[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]siliagi kwa sauti naugulia moyoni, ni machozi tu yanatiririka kama bomba.
sasa itokee nmemkosea mtu nalia naona nmemuumiza sana. Yani niko sensitive mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana mpotevu8,9 & 13, mwanamke wangu, baada ya hapo ni simu za wazazi na wachungaji kunionya mienendo yangu, na huwa siachi kusikiliza mtu one common rule inapokuja katika matatizo yangu i don’t complain or explain to anyone
sijaolewa [emoji3]We dada ushaolewa?? Maana nahisi kama utaonewa saaana na baharia asiyekujua, watu kama wewe nawaogopaga maana wananifanyaga natubu usiku peke yangu[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Sent using Jamii Forums mobile app
sa utanifundisha nini mkuu.Njoo nikufundushe ugangwe wanaume wa siku huzi wakijua uko hivyo utalia saaaana kama UNBREAK MY HEART
ni sex involved [emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mkubwa sana!!sa utanifundisha nini mkuu.
Mtu mkubwa kama mimi kuna kigeni zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watakuua mapema saaaanaHao ambao wakikasirika wanacheka hapana aisee wanipitie kushoto tu
Hao watoto wa waganga wa kienyejiUmewasahau wale wanaopandisha "majinni".
We wa kulia huna madharaNikikasirika huwa nalia hasira zikiisha maisha mengine yanaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app