kenyatanzania
New Member
- Dec 27, 2019
- 1
- 3
Ulipotea sana karibu, mi nimekuzoea na ile avator yako ya shingo ndeeefu.
Hasira zako nzuri, unajililia zako, ukinyamaza ugomvi ushaisha, kuna wale wanapasua hadi tv
Wengine huenda kuliwa kimasihara
Ulipotea sana karibu, mi nimekuzoea na ile avator yako ya shingo ndeeefu.
Hasira zako nzuri, unajililia zako, ukinyamaza ugomvi ushaisha, kuna wale wanapasua hadi tv
Sent using Jamii Forums mobile app
Sa hapo tunapeana kazi nyingine [emoji57][emoji57]Mmh hao n hatari ingine. Lkn nikilia unibembeleze sasa sio unajikalisha tu huko
Sent using Jamii Forums mobile app