Aina za ma Ex

Namba moja kama Ex wangu ameolewa lakini nikipiga simu moja tu huy hapa nambebaga safar zangu za kikazi maana yeye ni muajiriwa Halmashaur fulani mkoan dodoma uwa anamuaga mme wake naenda kwenye semina bas namla sana na mimba zangu ametoa nying sana.
Mimba zako katoa nyingi sana au sio.

Mpaka hapo naona stori yako ni chai huwezi kuwa timamu ukajinasibu kwa kutoa mimba wewe
 
Bwana mimi naona hata hapo sipo😅 mimi ukinichefua nachefuka kweli mxiew kuna ex mara ya mwisho kumuona ni miaka sijui mingapi iliyopita. Sijui kama ana acc JF ila we boyaaaa bora hata nilikunyima kichwa kama panga.
 
Bwana mi naona hata hapo sipo😅 mi ukinichefua nachefuka kweli mxiew kuna ex mara ya mwisho kumuona ni miaka sijui mingapi iliyopita. Sijui kama ana acc jf ila we boyaaaa bora hata nilikunyima kichwa kama panga.
Wewe ni Ex kisirani sasa 😀
 
😂😂😂😂 dah na hauna plan za kuwashika ugoni ili walau uvute mkwanja sasa anajipakulia minyama bure tuu mwenye bucha hufaidiki?
Utaunguzane picha nasubiri siku hiyo ya kubeba, mafuta lotion, condom, camera man, kituo kimoja Cha TV, siku hizi tv za YouTube pia zipo. Na begi la kubebea Dola. Atachagua ajaze pesa kwenye begi niondoke au apigwe miti ya nyuma mamamae zake yule
 
Pole sana. Haya mambo yapo kwenye jamii yetu na naonaga watu wanasimangana tu humu lakin ukweli bado hatujaona yanayokuja mbeleni. Kama ni kweli mambo yako hayapo vizuri mkuu..Mungu anakuona hiyo laana haitakupata. Lakin kama na wewe unampotezea mtoto wako hapo unabugi big time.

Kuna siku nitashusha uzi kuhusu malezi ya mtoto anaelelewa na mama yake huku baba kaoa pengine na mama kaolewa pengine ama mmoja hajaoa ama kuolewa hasa mama anaemlea mtoto huyu. Kuna kizungumkuti kikubwa sana hapa katikati, malezi yanakua sio balanced na adui anapita sana baina ya wazazi hawa ili kuliharibu kusudi la kuumbwa la huyu mtoto. If parents are not keen..watakuwa wanaharibu destiny kubwa iliobebwa na huyu mtoto. We need such a thread...
 
Yani vyovyote tu poa🤣 sasa nimchekee naongea nae nini. Tena nahisi panga nimempendelea ni tunda la ubuyu kabisa lile. Kaka alikua anajikuta yule kuna makabila mimi hata ningepewa bure sitakii🤣 kichwa kile🤣
ngoja nimtetee kidogo, mbona mwanzoni ulimkubali sasa au ana vichenchi? 😀
 
Well said Mkuu 🙏
 
ngoja nimtetee kidogo, mbona mwanzoni ulimkubali sasa au ana vichenchi? 😀
Vichenchi alikua navyo ndio na ndo vilivyokua vinampa kiburi. Mi nlikua nafurahi tu kuwa nae ila nikaona madoido yanazidi na hapo hata kumpa sijampa ebooo nikaanza kuruka mimi

Kabla nanga haijatua. Sikubali jumba bovu linidondokee mimi🤣 ila utoto raha af ye alikua mkubwa. Kanipigia eti mbona hupokei simu zangu nikamwambia mi naona safari yetu iishie hapa. Acha nikazane na masomo hata kwaheri sikutoa🤣 ila sababu ni kuvimbaaa. Boya alikua anavimba nikaona hapa kabla sijakolea acha niruke
 
Utaunguzane picha nasubiri siku hiyo ya kubeba, mafuta lotion, condom, camera man, kituo kimoja Cha TV, siku hizi tv za YouTube pia zipo. Na begi la kubebea Dola. Atachagua ajaze pesa kwenye begi niondoke au apigwe miti ya nyuma mamamae zake yule
Kuna mdau hapo juu kauliza eti huyo mama J ndio huyu wa DeepPond 😀
 
Pole sana mkuu January hii watu wamevurugwa vibaya ni hasira tuu za muda mfupi mtayamaliza na hawezi kuacha usahau kuhusu mtoto.

Yaani ada hizi zinafanya watu wawe na hasira sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…