Padre wa kijitolea kitaaHaya urudi kutupa mikasa ya Y wako ndugu mtakatifu, au we ni padre ama sister mkuu una kiapo cha abstinence?
Nitaangalia ila mizagamuo muhimu hapo baadaeOkay lakn utakuja kuoa si ndio ata kama sahivi hujawahi kua na mahusiano? Au ndo una mpango wa kua padre kamili?
We nimeanza nae anasoma kidato cha tano. nimemla weee na anasema ombe taraka kwa mme wake aje kwangu awe mke pili , ...sema anamtoto sasaa ma X watamu sanaaSio vizuri hivyo ndugu..wanawake ni wadhaifu sana, sisi wanaume tunapaswa kutumia akili zaidi kuliko hisia, huyo ni mke wa mtu hata kama unajua ni mdhaifu kwako mpotezee tu...itakuwa busara sana.Kumpigia mwanaume mwenzio sio afya kabisa..demu angekuea hajaolewa ingekuwa haina uzito....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
β€wasipokuelewa nitag...ex harudiwi aiseeHatari sana. Mapenzi hayataki viporo, utajikuta hufanikiwi mapenzini kisa ni wapenzi wakonwa zamani wasio na future
Hatari sanayani ndo hiki kizazi sasa unaoa/olewa mtu ana Ex 30+ ni hatarii
Umemalizaaaaa, mie sina cha kuchangia tenaaa.Najibu swali la nyongeza. Nitajisikia vizuri maana sina ex nilieachana nae vibaya..better me. Ni vile niliona hatuendani katika mitazamo, mawazo,tabia zetu...ukishamfahamu mtu kwa muda unajua tu hapa ndipo na hapa sipo. So wote kwa hekima niliwaambia tu ukweli ama nao walijikataa kitaratibu.
Sijawahi kuwachukia hata mmoja wao zaidi hata nisikie wameoa na wana mafanikio nitawafurahia. Ex sio uadui, ex ni mtu ambae hakupangwa kuwa nawe in this life maybe the after life huko. Na ikitokea nimealikwa harusi natia timu kwa moyo mweupe. Sote ni watoto wa Mungu..no time for hate or resentment..life is too short to hate people. Shout out to all my exes. One love y'all...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwana mi naona hata hapo sipo[emoji28] mi ukinichefua nachefuka kweli mxiew kuna ex mara ya mwisho kumuona ni miaka sijui mingapi iliyopita. Sijui kama ana acc jf ila we boyaaaa bora hata nilikunyima kichwa kama panga.
Watu wana ujasiri wa hatari Sana Aisee. Mke wa mtu kabisa!Sio vizuri hivyo ndugu..wanawake ni wadhaifu sana, sisi wanaume tunapaswa kutumia akili zaidi kuliko hisia, huyo ni mke wa mtu hata kama unajua ni mdhaifu kwako mpotezee tu...itakuwa busara sana.Kumpigia mwanaume mwenzio sio afya kabisa..demu angekuea hajaolewa ingekuwa haina uzito....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mbona makasiriko hivyo π€£Ni kupiga block tuu mkuu, kama Ex asiyetaka umove on na maisha yako ubakigi vile vile kama mlivyoachana wa nini sasa?? Akihudumia damu yake anahisi na wewe unafaidi huduma labda. Ni block tuu hakuna kubembelezana akiona umuhimu wa kuhudumia bila kuleta choyo na roho mbaya sawa asipoona umuhimu sawa pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa atakuja kufilika vibaya sana maana mwisho wa siku ni lazima atadakwa tu. Kuna ujanja ila sio wa kumgeuza mke wa mwenzio kama wako kisa ni ma EX.Watu wana ujasiri wa hatari Sana Aisee. Mke wa mtu kabisa!
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Anakosea sana jamaa.Sio vizuri hivyo ndugu..wanawake ni wadhaifu sana, sisi wanaume tunapaswa kutumia akili zaidi kuliko hisia, huyo ni mke wa mtu hata kama unajua ni mdhaifu kwako mpotezee tu...itakuwa busara sana.Kumpigia mwanaume mwenzio sio afya kabisa..demu angekuea hajaolewa ingekuwa haina uzito....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Angalia Sana huyu jamaa nahisi ni yule mganga.Ha ha ha.......[emoji1787]