Aina za ma Ex

Hiyo no: 1,,,inanitokea sana,,kuna ex wangu mmoja ivi jana katoka kunitamkia "Nitaendelea kukupenda wewe na huyo demu wako" Nimejiuliza mno roho ya aina gani hii?
 
Pond ashamkuta Mganga kkwa Mama J ndio nauliza sio wewe kweli.
Hahaaa πŸ˜‚ hapana aisee.. visa vya kaka mkubwa nimeanza kuvisoma ata sijajiunga humu! ila kama kweli ana moyo mgumu sanaa au washamtengeneza mwamba

Ila engine ya mama j itakua kiboko daadeki
 
Hahaaa πŸ˜‚ hapana aisee.. visa vya kaka mkubwa nimeanza kuvisoma ata sijajiunga humu! ila kama kweli ana moyo mgumu sanaa au washamtengeneza mwamba

Ila engine ya mama j itakua kiboko daadeki
Hiyo ndiyo inaitwa Fahari wawili zizi moja
 
Mwanamke siyo ndugu yako

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
ma-ex wangu wote wameolewa ila baadhi wananifuata niwape ushauri ndoa zao zikiingia tafrani ila serious nikitembea na demu kama hajaolewa basi lazima muda mchache unaofuata apate mume.. nahisi nina baraka ya kuwavushaga wengine ila siku hizi sitaki kutembea na michepuko ya kiafrika naruka na wazungu tu... hawa wanawake wa kizungu raha sana ukiwa nao kwenye mahusiano ni vile tu sasa nishakuwa mume wa mtu ila ningekuwa singo ningewabeba contena zima...
 
Wewe ni ex diplomat 😁 unaombwa na ushauri kabisa? It seems hua unaachana kwa aman na urafiki unabaki

Off topic eti kweli totoz za kizungu ni baridi na hazina ladha? naskia hawafui dafu kwa wabantu wetu hawa kwanzia kujituma mpaka joto la mwili
 
Mkuu aliyekwambia wazungu ni wabaridi nani; ? hebu njoo uonje mzungu mmoja haki ya nani nakwambia hutarudi kwa akina ashura vibegi na UTI 🀣
 
Dah ulijilipua mzee[emoji119]...kusomesha ni moja ya risk taking.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umemsahau dada ako Faiza Ally eeh [emoji16]

Sugu anaipata pata fresh na majuto juu sio wote mtaachana kwa aman na wee ukiwa roho safi bas inawezekana yeye atakua na gubu hataki kukuachia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu ex zangu, wanakuaga mabest zangu.

Kuna maisha nje ya kuachana.
 
Namba moja kama Ex wangu ameolewa lakini nikipiga simu moja tu huy hapa nambebaga safar zangu za kikazi maana yeye ni muajiriwa Halmashaur fulani mkoan dodoma uwa anamuaga mme wake naenda kwenye semina bas namla sana na mimba zangu ametoa nying sana.
Wew umefuka mipaka unachofanya Ni Kama mm kwenda kumbandua mke wa mtu wakt jamaaa wake kaenda kazini. ingawa sijakamtwa ila Ni upumbavu San nimefanya huwa nikifikiriaa nasema hzi nyegez his!! zitakuja kuniua siku mojaa ,nikikumbuka ile tukio ua nakosa hamu kbsa ya kuoa nilijiona nitalipwa tu vzr ,ila Kweli mwanamke alinipeda Sana Hadi kutaka nimchomeke au kumbabikiza mimba mume wake ,Hilo nilikataa kwa nguvu zote Kwanza jama Hana uchumi mkubwa kihivyo Kia's kwamba anaweza kuhudumia mimba ya pili kwa wakt huo .mngoni yule Ni mjinga San Yuko tayari kudanganya anakwenda kwa mwamposa kwenye maombi kumbe kashinda geto siku nzima akiliwa na kutoa na pesa zake kununa chakula changu na nauli juu yake jamaani ilifika mahali hnikogopa San hayo matendo ninchofanya na mke wa mtu yule.ili bidi niame mtaa na Kisha kuzingiziwa safari za kwenda Moro kumbe nilikuwa namkwepa ,,

Nikimbie tu mkuu tuache mara moja hiz tabia Ni mbaya sana sijui huwa Hawa ma ex wanadata na nn Hadi kuamua kuhujumu ndoa zao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nikimbie tu mkuu tuache mara moja hiz tabia Ni mbaya sana sijui huwa Hawa ma ex wanadata na nn Hadi kuamua kuhujumu ndoa zao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukweli ni kwamba watu weng hawatimizi haja za wenza wao timilifu..japo kua wengine ni hulka yao tu kugawa ila ukweli kabisa watu wanaleta mazoea anaona kakaa na mwanamke zaid ya miaka mi5 pengine kamzalia basi hana jipya kumbe nje anaonekana lulu inan'gaa. Mwanamke akiona umamchukulia poa akat watu wanamsumbua... game yenyewe anaipata kwa manati alaf anakula anashiba kwann asitest mitambo nje? Akikutana na boda wenye virasta wale wanaendesha ndala inaning'ing'inia huna chako tena wanampakia na mkongo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…